Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Mechi nyingi tulizomfunga Utopolo tulitumia mbinu za nje ya uwanja kama kuonga baadhi ya wachezaji wao mahiri ila wakati huu imekuwa ngumu.

Ndio maana Utopolo wale wachezaji wasaliti pamoja na kuwa kwenye viwango vizuri walipowagundua waliachana nao ndio usalama walio nao sasa.
Jana wachezaji gani wamehongwaa hapo utopoloo?? Au Morisson na Aziz Ki??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kungekuwa na uwezekano wa kuikwepa hii mechi au ingekuwa sio lazima kucheza hii mechi basi Simba wangeikwepa hii mechi mana Yanga ni lidude fulani likuubwaaa ambalo kuna watu wanaliogopa sanaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui hata umepotelea wapiii maskinii wee, hadi aibuu.
Njoo ubwatee tenaaa, khaaaah
 
20230425_124629.jpg



Formula hii hapa mtanishukuru
 
Waarabu wanachukua kumbukumbu na simu zao
 

Attachments

  • IMG-20230426-WA0026.jpg
    IMG-20230426-WA0026.jpg
    36.9 KB · Views: 20
Haya chukueni ringi lenu pumbavu, Yanga to the semi final nyie majibwa mtaendelea kutuangalia tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mashabiki wa yanga si watu wa mpira ila ni mach**k waliokuwa wanaionea wivu simba kila siku
 
Back
Top Bottom