cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Jana wachezaji gani wamehongwaa hapo utopoloo?? Au Morisson na Aziz Ki??Mechi nyingi tulizomfunga Utopolo tulitumia mbinu za nje ya uwanja kama kuonga baadhi ya wachezaji wao mahiri ila wakati huu imekuwa ngumu.
Ndio maana Utopolo wale wachezaji wasaliti pamoja na kuwa kwenye viwango vizuri walipowagundua waliachana nao ndio usalama walio nao sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]