Arica
Member
- Jul 22, 2023
- 10
- 6
hahahahah! Makin xan hyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahah! Makin xan hyo
we naw huelew kisomo soma hizo ranking zimepangwa kwenye jedwali had 25 au 24 kuwa Makin bro!Umesoma kwanza hapo walipoandika 2024/2025 kisha ukaelewa wamemaamiaha nini? Hoyo ni ranking ya kufikirika kwajili ya msimu wa 2024/2025. Kumbuka mashindano ya CAF msimu wa 2023/2024 bado hayajaanza na haijulikani timu zitavuna kipi.
HaswaaaaaChura apigwe mpaka achakae
Ukweli wanaujua madunduka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnajisemesha wenyewe
Sent from my Nokia C21 Plus using JamiiForums mobile app
Wana simba tupo wengi sana humu nyie ngojeni tu!!
Hiyo ni kumbukumbu na hii hapa ni update ya kinachoendeleaView attachment 2730140
Tunakumbushana tu
Hapa naongea kama mtu wa 3 na sio katika upande wa washindani
I ve to be honest
Sioni mahala popote Simba Sc sio tu kumzidi Al Ahly Bali hata angle ambayo analingana na Ahly.
With due respect kwa wote na mchezo wa mpira wa miguu, kwangu the great achievement Simba Sc wanaweza kufanya katika Michuano hii ya African Super league ni kupata matokeo ya Ushindi katika Uwanja wa Mkapa ila sio kumuondoa Al Ahly katika mashindano haya.
Bado naona Simba Sc wana changamoto kiufundi hasa katika balance eneo la kiungo na kiulinzi changamoto ambazo given wanakuwa pressed, hustled and pushed with speed and quickness ni ngumu kuwa wastahmilivu dhidi ya timu Class ya Ahly.
Hivyo iwe iwavyo siwezi kwa mimi binafsi kutabiri Simba Sc anavuka mbele ya Al Ahly.
All in All Muende mkakipate kile mlicho kikimbilia