Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Umesoma kwanza hapo walipoandika 2024/2025 kisha ukaelewa wamemaamiaha nini? Hoyo ni ranking ya kufikirika kwajili ya msimu wa 2024/2025. Kumbuka mashindano ya CAF msimu wa 2023/2024 bado hayajaanza na haijulikani timu zitavuna kipi.
we naw huelew kisomo soma hizo ranking zimepangwa kwenye jedwali had 25 au 24 kuwa Makin bro!
 
IMG_0200.jpg

Nguvu moja
 
Hapa naongea kama mtu wa 3 na sio katika upande wa washindani

I ve to be honest

Sioni mahala popote Simba Sc sio tu kumzidi Al Ahly Bali hata angle ambayo analingana na Ahly.

With due respect kwa wote na mchezo wa mpira wa miguu, kwangu the great achievement Simba Sc wanaweza kufanya katika Michuano hii ya African Super league ni kupata matokeo ya Ushindi katika Uwanja wa Mkapa ila sio kumuondoa Al Ahly katika mashindano haya.

Bado naona Simba Sc wana changamoto kiufundi hasa katika balance eneo la kiungo na kiulinzi changamoto ambazo given wanakuwa pressed, hustled and pushed with speed and quickness ni ngumu kuwa wastahmilivu dhidi ya timu Class ya Ahly.

Hivyo iwe iwavyo siwezi kwa mimi binafsi kutabiri Simba Sc anavuka mbele ya Al Ahly.

All in All Muende mkakipate kile mlicho kikimbilia
 
Timu kubwa na haina kiwanja chake?

Hii ni aibu kubwa sana kwa upande wangu
 
Napenda kutoa ushauri kuwa zile billion 5 za maaandalizi mpeni mwamedi maaana yeye ni mtu wa kulalamika ana pata hasara
 
Hapa naongea kama mtu wa 3 na sio katika upande wa washindani

I ve to be honest

Sioni mahala popote Simba Sc sio tu kumzidi Al Ahly Bali hata angle ambayo analingana na Ahly.

With due respect kwa wote na mchezo wa mpira wa miguu, kwangu the great achievement Simba Sc wanaweza kufanya katika Michuano hii ya African Super league ni kupata matokeo ya Ushindi katika Uwanja wa Mkapa ila sio kumuondoa Al Ahly katika mashindano haya.

Bado naona Simba Sc wana changamoto kiufundi hasa katika balance eneo la kiungo na kiulinzi changamoto ambazo given wanakuwa pressed, hustled and pushed with speed and quickness ni ngumu kuwa wastahmilivu dhidi ya timu Class ya Ahly.

Hivyo iwe iwavyo siwezi kwa mimi binafsi kutabiri Simba Sc anavuka mbele ya Al Ahly.

All in All Muende mkakipate kile mlicho kikimbilia

Simba anabeba kombe hili InshaAllah
 
Back
Top Bottom