Hapa naongea kama mtu wa 3 na sio katika upande wa washindani
I ve to be honest
Sioni mahala popote Simba Sc sio tu kumzidi Al Ahly Bali hata angle ambayo analingana na Ahly.
With due respect kwa wote na mchezo wa mpira wa miguu, kwangu the great achievement Simba Sc wanaweza kufanya katika Michuano hii ya African Super league ni kupata matokeo ya Ushindi katika Uwanja wa Mkapa ila sio kumuondoa Al Ahly katika mashindano haya.
Bado naona Simba Sc wana changamoto kiufundi hasa katika balance eneo la kiungo na kiulinzi changamoto ambazo given wanakuwa pressed, hustled and pushed with speed and quickness ni ngumu kuwa wastahmilivu dhidi ya timu Class ya Ahly.
Hivyo iwe iwavyo siwezi kwa mimi binafsi kutabiri Simba Sc anavuka mbele ya Al Ahly.
All in All Muende mkakipate kile mlicho kikimbilia