Tumeshamaliza Mechi 😁😁😁...

Bado amjasema mpaka kielewekee

#HapaniHabariSahihiTu
#MpiraWaAfrika...
 

Attachments

  • 1726753625831.jpg
    233 KB · Views: 5
Tumeshamaliza Mechi 😁😁😁...

#HapaniHabariSahihiTu
#MpiraWaAfrika...
 

Attachments

  • 1726753625831.jpg
    233 KB · Views: 6
Wanasimba wenzangu kesho kwenye mkutano mkuu msisahau mabango ya kushinikiza Uongozi wa Klabu kujenha kiwanha.
20000 Seater Stadium kwetu inatosha na Klabu inao uwezo wa kujenga.
 
Chondechonde kesho kila mwanasimba ajiandae kwa hili.
Mkifika kesho mtanikuta getini mabango nimeshayaandaa tayari.
 
Alafu huyu kocha lwa nini hamchezeshi valentino mashaka? Simuelewi mjue
 
Alicheza mechi ya kwanza na ya pili akafunga goli mbili na mechi na Azam kama alicheza pia
 
Kundi A- Shirikisho.

1. SIMBA (Tanzania)

2.CS Sfaxien (Tunisia)

3.CS Constantine (Algeria)

4.FC Bravos do Maquis (Angola)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…