Mfululizo wa mechi za ligi kuu ya NBC unaendelea.
Na weekend hii ni Wagosi wa Ndima, Coastal Union wakiwaalika Simba Sports Club katika dimba la Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Kaluta pale Arusha.
Ikumbukwe mchezo wa kwanza, Timu hizi zilitoka sare ya 2-2 pale KMC Complex.
Hii itakuwa mechi ya muhimu kwa Simba kabla ya kukutana na Yanga weekend ijayo katika Kariakoo Derby ambayo itaamua mbio za Ubingwa.
Mechi itakuwa Saa 10:00 jioni