Simba + Yanga = MRADI WA WAHINDI sioni chakushangilia hapo
Who told you kuwa sisi tunashangilia wahindi bra gudlack, and after all kuna tatizo gani kwenye hilo? Anzisha mradi wako na wewe utushawishi tushangilie!! wabongo bana ndo maana hatusongi mbele pere pere nyingi vitendo zero
 
Bra kilimasera kuna thread kwa jina la Simba Sport Club Special ina kila kitu kuhusu mnyama, karibu kule bra najua wewe ni mmoja wa wafuasi la chama kubwa
 
Who told you kuwa sisi tunashangilia wahindi bra gudlack, and after all kuna tatizo gani kwenye hilo? Anzisha mradi wako na wewe utushawishi tushangilie!! wabongo bana ndo maana hatusongi mbele pere pere nyingi vitendo zero

Uko very right cousin!!!

Sisi tunashangilia timu na sio mradi!!! labda atuambie anataka tushangilie nini semina, warsha, mihadhara au nini sijui
 
Simba Mnataka kuchukua ubingwa wa bara kwa staili gani - manayake mnatisha. mnataka kutangaza ubingwa kwa mbwembe ambazo hatujawahi kuziona?

Duh mnanikonga roho sana - pigeni kazi wakuu - jangwani wananawa tu kula hadi masika ya tatu baba YEGUYE akirudi nyumbani.
 
NI kweli kabisa usemayo mdau
 
hii inadhirisha maneno ya mwanangu mziray
hakuna ligi;ligi gani aiina ushindani ushindi mechi 11
asingekuwpo yanga si ingekuwa ligi ya aibuzaidi
 
hii inadhirisha maneno ya mwanangu mziray
hakuna ligi;ligi gani aiina ushindani ushindi mechi 11
asingekuwpo yanga si ingekuwa ligi ya aibuzaidi

Si kwamba ligi haina ushindani, ni kwamba wekundu wa msimbazi wamejipanga vilivyo, hata arsenal ilivyoweka record ya unbeaten 41 games Uingeleza - mbona hukusema ligi yao ilikuwa hafifu?

Sifa wape tu mkuu, wekundu wapo safi kuanzia Kocha, Wachezaji na uongozi.
 
yeah!! tukipata time tunaenda uwanjani kuipa timu sapoti angalau one day inaleta morali sana kwa wachezaji wetu
Tunapaswa kuiunga mkono kwa hari na mali..ukipata kido ichangie tumaneno Simba kwenda 15556 na kama unamapenzi ya dhati na wkundu wa simbazi kuwa mwanachama ingawa wanacherewesha..ukiona mafanikio ujue pesa imetumika hivyo kuwa mmoja wa walioleta mafanikio..
 
Mkuu thanks kwa info. nathani wadau wengi tutalisapoti chama letu manake linavpa raha.
 
😎
 
kweli inabidi tuongee na mkulu kama vipi hata sisi tukapige dinner ikulu kabla ya kuukwea mlima.
 
kweli inabidi tuongee na mkulu kama vipi hata sisi tukapige dinner ikulu kabla ya kuukwea mlima.
Ikulu ya kazi gani mkuu, si unajua mzee wa kivukoni si mtu wetu?
Hivi mtu usipokua shabiki wa Simba kuna timu nyingine ya kushabikia? πŸ™‚
 
Wadau wa Msimbazi tujiandae kwa game ya Mwanza, nayo ni ngumu lakini kushinda ni muhimu sana
 
Vipi matokeo mkuu tunaomba update pls
 
Vipi matokeo mkuu tunaomba update pls

Tehe teh teh. jamaa acha kuwanga. Kwa sababu huko Australia ni jumapili basi unadhani na bongo ni jumapili? Subiri matokeo jumapili ndio mechi inapigwa labda ungeuliza matokeo ya yebo yebo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…