Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Jamani ashasema kabisa kwamba katumia mechi ya leo kama hadidu ya rejea kwa nini mnampinga, kwa kigezo cha leo yuko sahihi, Wanasimba tulijitokeza wengi zaidi kwa kuangalia kwa macho na kweli wengi wetu tumetoka tumehuzunika, once again wanayanga hongereni.
 
Kweli ila wameumbuka
Kwa kutumia mchezo wa leo kati ya simba na yanga,nimebaini kuwa simba ndo timu yenye mashabiki wengi kuliko yanga,kwa aliyekuwa uwanjan atakubaliana na mimi.(nimetumia mechi ya leo kama sample kulingana na msisimko uliokuwepo,naamini mashabiki wa timu zote walikuja uwanjani kwa idadi kubwa)
 
Jaman naomba mnisaidie hivi kwanin yanga wanapochorwa kweny cartoon wanachora ndala? Je nin link kat ya ndala na yanga? Anayejua please anisaidie.
 
Jamani ashasema kabisa kwamba katumia mechi ya leo kama hadidu ya rejea kwa nini mnampinga, kwa kigezo cha leo yuko sahihi, Wanasimba tulijitokeza wengi zaidi kwa kuangalia kwa macho na kweli wengi wetu tumetoka tumehuzunika, once again wanayanga hongereni.
achana nao magamba hao,me ni simba damu! Na japokuwa tumefungwa,kikosi chetu hakikuwa ktk hali nzuri,nway...Mpira mmeuona lakini?
 
Sio shabiki wa mpira mimi,nimeenda tu kuangalia angalia baada ya kupata tiket ya bure, nyie vipi?

Simba ikifungwa, wewe sio shabiki wa mpira.
Ikishinda, wewe ni shabiki wa mpira, tena shabiki wa simba
.
Pole kwa maumivu.
Baada ya kama wiki hivi utazoea, maumivu yataisha.
YANGA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
 
Hata hivyo wamejitahidi maana mshindi ni mmoja. Hata iweje. Wote waliofika fainali hongera zenu.
 
Kwa kutumia mchezo wa leo kati ya simba na yanga,nimebaini kuwa simba ndo timu yenye mashabiki wengi kuliko yanga,kwa aliyekuwa uwanjan atakubaliana na mimi.(nimetumia mechi ya leo kama sample kulingana na msisimko uliokuwepo,naamini mashabiki wa timu zote walikuja uwanjani kwa idadi kubwa)
Ni kigezo kipi ulichokiona au ni pale mlipoanza kumpiga yule mwandishi wa habari na chupa za maji ndo mlipojiona mpo wengi acheni imani za kishirikina
 
Back
Top Bottom