Ndo maana umeshindwa kufanya fair analysisSio shabiki wa mpira mimi,nimeenda tu kuangalia angalia baada ya kupata tiket ya bure, nyie vipi?
Kwa kutumia mchezo wa leo kati ya simba na yanga,nimebaini kuwa simba ndo timu yenye mashabiki wengi kuliko yanga,kwa aliyekuwa uwanjan atakubaliana na mimi.(nimetumia mechi ya leo kama sample kulingana na msisimko uliokuwepo,naamini mashabiki wa timu zote walikuja uwanjani kwa idadi kubwa)
kashinda yanganani kashinda sasa
Kumbe, nilikuwa nimejiandaa kukupa bonge la tusi.Simba hoyee. Jiandaeni mwakani mtahurumiwa
achana nao magamba hao,me ni simba damu! Na japokuwa tumefungwa,kikosi chetu hakikuwa ktk hali nzuri,nway...Mpira mmeuona lakini?Jamani ashasema kabisa kwamba katumia mechi ya leo kama hadidu ya rejea kwa nini mnampinga, kwa kigezo cha leo yuko sahihi, Wanasimba tulijitokeza wengi zaidi kwa kuangalia kwa macho na kweli wengi wetu tumetoka tumehuzunika, once again wanayanga hongereni.
yanga washabiki wao wote ni maskini.
Sio shabiki wa mpira mimi,nimeenda tu kuangalia angalia baada ya kupata tiket ya bure, nyie vipi?
Simba Magamba wengi!yanga washabiki wao wote ni maskini.
Kuna mmoja alitegemewa. Taja na mpongeze.Hata hivyo wamejitahidi maana mshindi ni mmoja. Hata iweje. Wote waliofika fainali hongera zenu.
Ni kigezo kipi ulichokiona au ni pale mlipoanza kumpiga yule mwandishi wa habari na chupa za maji ndo mlipojiona mpo wengi acheni imani za kishirikinaKwa kutumia mchezo wa leo kati ya simba na yanga,nimebaini kuwa simba ndo timu yenye mashabiki wengi kuliko yanga,kwa aliyekuwa uwanjan atakubaliana na mimi.(nimetumia mechi ya leo kama sample kulingana na msisimko uliokuwepo,naamini mashabiki wa timu zote walikuja uwanjani kwa idadi kubwa)