Kago ni kifaa simba huwa haisajiri magarasha kama Yanga...huwa anacheza namba 7, 9 na 10 lakini kwa mechi ya leo ni sahihi akicheza namba 7Hivi Kago katoka wapi na anacheza namba ngapi?? Kago asije akawa Cargo kwa Simba!! Lol!!
Kwa jinsi timu nilivyo iona kama 1. kaseja, 2 Cholo, 3. Maftah, 4 Victor Costa, 5 Juma Nyoso, 6. Santo, 7. Kago, 8.Mafisango, 9. Sunzu Felex, 10. Haruna Moshi Boban na 11 .Okwi halafu kwenye benchi Kelvin, Uhuru, kiemba....basi yanga wasitegemee mtelemko ingawa natambua hatuna kocha
<br />Kwa jinsi timu nilivyo iona kama 1. kaseja, 2 Cholo, 3. Maftah, 4 Victor Costa, 5 Juma Nyoso, 6. Santo, 7. Kago, 8.Mafisango, 9. Sunzu Felex, 10. Haruna Moshi Boban na 11 .Okwi halafu kwenye benchi Kelvin, Uhuru, kiemba....basi yanga wasitegemee mtelemko ingawa natambua hatuna kocha
keshaliwa mtu leoView attachment 35542 Kupenda Simba Rahaaaaaaa Si Rahaaaaaa? Rahaaaaa Hapo anajilia Daku lake Mara Mbili Leo Simba kwa Switii(Yanga).