Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Hivi Kago katoka wapi na anacheza namba ngapi?? Kago asije akawa Cargo kwa Simba!! Lol!!
Kago ni kifaa simba huwa haisajiri magarasha kama Yanga...huwa anacheza namba 7, 9 na 10 lakini kwa mechi ya leo ni sahihi akicheza namba 7
 
Kwa jinsi timu nilivyo iona kama 1. kaseja, 2 Cholo, 3. Maftah, 4 Victor Costa, 5 Juma Nyoso, 6. Santo, 7. Kago, 8.Mafisango, 9. Sunzu Felex, 10. Haruna Moshi Boban na 11 .Okwi halafu kwenye benchi Kelvin, Uhuru, kiemba....basi yanga wasitegemee mtelemko ingawa natambua hatuna kocha
 
Kila la Heri wana msimbazi.Ushindi wa leo ni heshima kwa club
 
Hii bila shaka itajidhihirisha tena leo, Yanga oyee.
 
Attachments

  • yanga kidume.jpg
    yanga kidume.jpg
    3.1 KB · Views: 49
sasa leo ndo kitafahamika kuwa kati ya mnyama na hao jamaa zenu wauza mayai wa jangwani nani kidume!Hisia zangu huonyesha jangwani watakojolewa na kutiwa mimba ya mapacha
 
Ngao ya jamii leo,1.kaseja,j 2.cholo 3.maftah,a 4.coaster,v 5.nyoso,j 6.Santo,j 7.Okwi,e 8.boban,h 9.Sunzu,F 10.Kago,G 11.Kiemba,r BENCHI:mafisango,yondan,barthez,isyaka,machaku nk.
 
Kwa jinsi timu nilivyo iona kama 1. kaseja, 2 Cholo, 3. Maftah, 4 Victor Costa, 5 Juma Nyoso, 6. Santo, 7. Kago, 8.Mafisango, 9. Sunzu Felex, 10. Haruna Moshi Boban na 11 .Okwi halafu kwenye benchi Kelvin, Uhuru, kiemba....basi yanga wasitegemee mtelemko ingawa natambua hatuna kocha

Nashukuru unajua kuwa hamna kocha, na pia sijui kama unajua hamna mwenyekiti ha ha ha.

Ila naomba uweke chupa ya maji karibu, maana leo mnavishwa tena SHANGA, na chupi mpya hilo halina ubishi.
 
Kwa jinsi timu nilivyo iona kama 1. kaseja, 2 Cholo, 3. Maftah, 4 Victor Costa, 5 Juma Nyoso, 6. Santo, 7. Kago, 8.Mafisango, 9. Sunzu Felex, 10. Haruna Moshi Boban na 11 .Okwi halafu kwenye benchi Kelvin, Uhuru, kiemba....basi yanga wasitegemee mtelemko ingawa natambua hatuna kocha
<br />
<br />
kwani ulisikia kocha ana namba uwanjani? Yote kutapatapa.
 
Sasa ni zamu ya watani wangu simba cc kuchukua kombe kila la kheri na mungu awasaidiee tukutane tena huko
kwenye ligi kama tulivyoona wachezajiwa yanga walivyochukua kombe walienda bungen na kulakiwa full shangwe
hope job ndugai sasa zamu ya simba jamani embu kale ka emrgency aka dharura mkaguse tena kwa ajili watani wetu
hope by j3 watakuwa huko tunaomba muwapokee muwakaribishe kama sisi ila msiwapeleke zile hotel zenye vipoozeo
wasije chmsha kwenye ligi ...
Kila la kheri naona leo timbe anasikia ku bleed mwanzo mwisho dk 3 mpira kuisha naona wale mbagala na chamanzi
wanaanza kukimbia mapema hongera sana basana
 
Aungurumapo simba mcheza nani? Yanga kushney dozi ndio hiyo imeanza kazi mnayo this tym.
 
Simba Vs Yanga.jpg Kupenda Simba Rahaaaaaaa Si Rahaaaaaa? Rahaaaaa Hapo anajilia Daku lake Mara Mbili Leo Simba kwa Switii(Yanga).
 
nyie endeleeni kubishana hapo lkn LUIS SENDEU kafa kwa presha uwanja wa taifa muda mfupi uliopita
 
mechi za midomoni ha2wawezi lkn uwanjani hamna kitu.Hawa wauza madafu wa jangwani wao wakibahatisha kaushindi kiduchu tu; huwa wanachonga sana na leo tena waendelee kuongea.MBWA nyie msio na adabu
 
YANGA watiwa MIMBA YA MAPACHA 2 isiyotarajiwa.Swali ni kwamba;Wanamfahamu huyo kidume aliyewatia hiyo mimba ili achukuliwe hatua za kisheria?Cha kusikitisha zaidi ni kwamba LUIS SENDEU afariki ghafla baada ya kusikia habari hiyo.
 
Back
Top Bottom