<br />Hii bila shaka itajidhihirisha tena leo, Yanga oyee.
<br />Ina maana Simba atapakatwa tena leo?
Nashukuru unajua kuwa hamna kocha, na pia sijui kama unajua hamna mwenyekiti ha ha ha.
Ila naomba uweke chupa ya maji karibu, maana leo mnavishwa tena SHANGA, na chupi mpya hilo halina ubishi.
lapa limen'gatwa mikandando ngapi ngapi vile..
mpaka sasa simba 2 na JKT Oljoro 0..wafungaji ni Okwi na mafisango..Sunzu ni kifaa
mkuu mimi siyo sheikh yahaya..lakini jamaa tumewazidi ingawa wanauweza..kabla ya mechi kuanza shabiki wa yanga alivuliwa jezi baada ya kwenda sehemu walipo kuwa wamekaa kikundi cha kidedea (mpira pesa)..nyepesinyesi ni kuwa mpaka sasa yanga wako nyuma kwa goli moja zidi ya JKT RUVUMkuu Crash toa tathmini yako ya mchezo huo na pengine ubashiri Mnyama atapiga jumla ya bao ngapi leo?
kikosi cha simba kwa leo ni: kaseja,cholo,maftah,victor,nyoso,santo,machaku,mafisango,sunzu,moshi na okwi
mpaka sasa simba 2 na JKT Oljoro 0..wafungaji ni Okwi na mafisango..Sunzu ni kifaa