Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kwanini simba na yanga zisife hii ligi ikaenda kwa haki bin haki maana wananikera wanavyobebwa ili mmoja wao achukue ubinga na pindi zitakapokufa ndio soka la TZ litaendelea
 
Hii bila shaka itajidhihirisha tena leo, Yanga oyee.
<br />
<br />
mkuu umeona maneno yako yalivyokugeuka?Nshakueleza kuwa hao wauza madafu wa jangwani ni lazima wakubali kutiwa mimba isiyotarajiwa tena ya mapacha 2. Mtajifunza kunyamaza;hamna adabu tena mbwa nyie!
 
....kwi kwi kwi kwi naona umevaa mwenyewe shanga nyekundu, ka- thong kapya kekundu kakiwa na maandishi ya yombiyombi.... 🙂

Nashukuru unajua kuwa hamna kocha, na pia sijui kama unajua hamna mwenyekiti ha ha ha.

Ila naomba uweke chupa ya maji karibu, maana leo mnavishwa tena SHANGA, na chupi mpya hilo halina ubishi.
 
Mkubwae yanga kakalia kipande cha nyama kikazama chote na daktari wao SAM TIMBE ameipima mimba na kuhakikishia mashabiki wake kuwa mimba hiyo ishaatungwa na wasubirie tu kupata watoto mapacha 2 lkn hakutaja ni lini watoto hao watazaliwa.
 
mpaka sasa simba 2 na JKT Oljoro 0..wafungaji ni Okwi na mafisango..Sunzu ni kifaa
 
mpaka sasa simba 2 na JKT Oljoro 0..wafungaji ni Okwi na mafisango..Sunzu ni kifaa

Mkuu Crash toa tathmini yako ya mchezo huo na pengine ubashiri Mnyama atapiga jumla ya bao ngapi leo?
 
natamani kama sunzu angekuwa mtanzania maana ninauhakika tungesumbua afrika..
 
kikosi cha simba kwa leo ni: kaseja,cholo,maftah,victor,nyoso,santo,machaku,mafisango,sunzu,moshi na okwi
 
yanga wamegomea kuingia vyumbani huko morogoro

wanawaza uchawi tu hawa ndo maana washachapwa 1-0 na ruvu hadi sasa
 
Mkuu Crash toa tathmini yako ya mchezo huo na pengine ubashiri Mnyama atapiga jumla ya bao ngapi leo?
mkuu mimi siyo sheikh yahaya..lakini jamaa tumewazidi ingawa wanauweza..kabla ya mechi kuanza shabiki wa yanga alivuliwa jezi baada ya kwenda sehemu walipo kuwa wamekaa kikundi cha kidedea (mpira pesa)..nyepesinyesi ni kuwa mpaka sasa yanga wako nyuma kwa goli moja zidi ya JKT RUVU
 
kikosi cha simba kwa leo ni: kaseja,cholo,maftah,victor,nyoso,santo,machaku,mafisango,sunzu,moshi na okwi

vipi hao wachezaji wanne kuanza kwa pamoja haiwezi kutuletea athari? maana wapinzani wanaweza wakadai tumechezesha wageni wengi na kuna kipindi ilikuwa wageni watatu wanaanza na kumaliza watano

nifafanulieni hili
 
Bangi Arusha imehalalishwa yaani jukwaa moja la upande wa kaskazini wote wanavuta CHA ARUSHA hakuna wa kuwabuguzi.
 
Back
Top Bottom