Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Simba damu nyekundu ya kweli sio ule uchafu wa usaha wa yanga na kandambili zao za chooni wenyewe 3-0 wakaona wameshinda tayari wamesikia mpira wa primary ule break kengele Ikilia mpira uishe Mrudi class? Unamchokoza kidume lazima akirudishie Yule mshabiki wao watammaliza machozi. Ubingwa lazima urudi.
 
naipenda Simba mshabiki wa damu,
naipenda Simbamshabiki wa damu

Simba hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
VIONGOZI WAPYA SIMBA SC WATINGA BUNJU KWENYE ENEO LA MRADI WA UJENZI WA UWANJA WA KLABU Home » Unlabelled » VIONGOZI WAPYA SIMBA SC WATINGA BUNJU KWENYE ENEO LA MRADI WA UJENZI WA UWANJA WA KLABU
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Makamu wa Rais wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu' kushoto akiwa na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji, walipotembelea eneo la mradi wa ujenzi wa Uwanja wa klabu hiyo, eneo la Bunju, Dar es Salaam. Source: Bin Zubeiry http://bongostaz.blogspot.co.uk/
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
Nlijiuliza kuwa hawa Mashabiki kweli wamekuja na Zesco toka Zambia?
Licha ya uhasama wa hapa na pale,jamaa hawa wachangiana mapato eti!
 
TatiZo la Simba no safu ya ulinzi. Lirekebishwe 2014/2015 kwa kusajili mabeki we ye nguvu name we ledi

Hayo ndiyo mambo
Ulinzi, ulinnzi, ulinzi
 
Ushindi siyo muhimu sana,cha muhimu ni kupima wachezaji na mifumo ya uchezaji...
 
mmeanza kuongea bila tathmini wala uchambuzi? mds huu uzi tuunganishiwe kwenye uzi maalum wa simba
 
Back
Top Bottom