Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Mh! kama kuna kaukweli flani.

Hakuna ukweli wowote labda yeye ndo kalewa mataptap ya ushindi wa "friend mechi";Simba imeshinda sana bila Kaseja na hata ukienda kuangalia ile trophy cabinet ilivyojaa,Kaseja alikuwepo?
 
Nadhani wamesahau simba ndo baba wa mpira wa kimataifa kwa bongo.Ndo timu ya kwanza A.mashariki kumtoa zamalek akiwa nyumbani,timu ya kwanza kucheza fainali ya kombe la caf.Hivi mnakumbuka mlivyopigewa sita ally mayai akidaka mpira kama kipa baada ya mpira kumshinda joseph katuba
mimi pia ni simba,ila rekodi zako zina ulakini,usiseme afrika mashariki maana hapo unajumuisha kenya na uganda pia,na ukisema kuwatoa wamisri kwao hata villa ya uganda ilimtoa kwa penati ahly mwaka 1991 iulikuwa imetoka kumtoa pamba ya mwanza 4-1 kampala na pamba wakashinda 2-1 kirumba wakatoka pamba kwa 5-3 jumla,ahly ya misri ilitoleawa na villa ktk robo fainali klabu bingwa afrika wakati bado haijaanzishwa mtindo wa makundi na villa ilitinga fainali ikapigwa 6-2 na club african ya tunisia na cha ajabu ktk mechi hiyo kulikuwa na mawakala wa soka toka uturuki wakavutiwa na marehemu majid musisi ingawa alikuwa ktk waliofungwa kule tunis tunisia,na fainali ya caf villa ndio timu ya kwanza afrika mashariki kucheza fainali kombe la caf 1992 lilipoanzishwa na hayati mashoud abiola wa nigeria,ila ukizungumzia tz pekee yake nakukubalia,na timu pekee afrika mashariki kubeba michuano ya vilabu ni gor mahia tu mwaka 1987 walibeba kombe la washindi(limeungana na caf siku hizi)
 
Rage Awaomba Radhi wachezaji walio tuhumiwa kuchukua mrungura ili simba ifunge: Rage simba ilicheza vizuri sana ndani ya dk 90 ila bahati mbaya tu kwenye penati tukafungwa, kasema Kama kunawana simba ambao hawataki kuona wanafungwa basi waanzishe ligi yao itakayo jumuisha simba B na simba A hapo kamwe hutasikia simba imefungwa kwani ikifunga simba A/simba B basi ni chereko.. Hongera rage tusiwaige watani zetu yebo yebo kufukuza wachezaji..
 
that's purely sportsmanship! Ukiangalia mechi na kuianalyze vizuri, huwezi kuja na majungu ya kuuza mechi. Timu imetrain muda mrefu,haikuwa na mechi za kutosha za majaribio,kombination kidogo haijawa sawasawa, still ilicheza vizuri.
 
Wakuu ligi imeshaanza kwa kumnyuka mtu 2:1
Tunaomba tupeane updates na kuendelea kudiscuss chama letu.kila la kheri wekundu. (RED)
 
Leo Tarehe 19 september 2010, Simba vs Police Dododma: 1.Ally 2.Kanoni 3.Maftah 4.Yondan 5.Owino 6.Banka 7.Shija 8.Ochan 9.Okwi 10.Mgosi 11.Uhuru. Reserve:Kaseja,Shamte,Nyoso,Naftal,Kijuso...mwenye updates zaidi atupatie
 
jamani hali sio nzuri sana

simba 0- polisi dodoma 1

bado dakika 10 kwa sasa
 
Final score simba 0-polisi dodoma 1
rekodi imevunjwa at last baada ya takribani mechi 30 without defeat in tanzanian premier league

what a bad week has it been to me?aaaaaaaaarrrrggggghhhhhhhh!!!!??

Jana yanga walianza kushinda 1-majimaji 0 then arsenal ndo wakaboronga , leo man u wameiharibu siku kwa kushinda 3-2 dhidi ya liverpool, then simba wamefungwa , haya ba chelsea wameshinda kwa kishindo kikubwa,

daaaah!! Kweli football tamu everything has been against me this week
 
Umenifurahisha sana ndugu. Football ndiyo raha yake hiyo.
 
Final score simba 0-polisi dodoma 1
rekodi imevunjwa at last baada ya takribani mechi 30 without defeat in tanzanian premier league

what a bad week has it been to me?aaaaaaaaarrrrggggghhhhhhhh!!!!??

Uzuri ni kwamba haikuvunjwa na kandambili - maana wangejidai sana. Kutofungwa msimu mmoja na nusu si haba
 
vipi matokeo ya leo wakuu kama kuna mtu yupo uwanjani atupe matokeo!
 
Back
Top Bottom