Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani mimi ni mwanasimba damu kabisa
ebu nipeni matokeo ya mnyama na mwarabu:help:
Simba 5 waarabu 1
Mii ni mpenzi wa simba na nasikitika tumechapwa goli hamsa... yes hatuna exkyuz yoyte labda wachezaji wakija waseme walifungwa kwasababu wambura alifungua kesi au babali sorry dalali alienguliwa
THE BEST TEAM WON ADN WE HAVE LEVELS DUNIANI NDIO MAANA SISI VIBONDE WETU YANGA NA NI VIBONDE WA WAARABU
Hivi nani wale walipigwa nje ndani na Wazee wa Kutomboka, mapedeshee wa Lubumbashi?
Hivi ni timu gani ya TZ katika historia ya mashindano ya kimataifa iliyowahi kubugizwa magoli mengi sana kuliko timu nyingine ye yote ya hapa TZ kwenye uwanja wetu wa nyumbani? Mimi naikumbuka timu fulani inaitwa Mufurila Wanderers iliifunga hiyo timu yetu (wewe Mkorintho unaijua) goli 4 kwa ubuyu.Hivi nani wale walipigwa nje ndani na Wazee wa Kutomboka, mapedeshee wa Lubumbashi?
Simba jike lainiiiiii kama unanawa vile
Sijawahi kuona mkee anafurahia mme wake kupigwa, nyie kandambili sikitikeni mme wenu kapigwa, whoelse will protect you from the arabs?...LOL.Kiko wapi?
sasa mrudi kisha mtulize viuno chini.
5-1 duh, lazima hii itakuwa ni kinyume na maumbile.
Hivi ni timu gani ya TZ katika historia ya mashindano ya kimataifa iliyowahi kubugizwa magoli mengi sana kuliko timu nyingine ye yote ya hapa TZ kwenye uwanja wetu wa nyumbani? Mimi naikumbuka timu fulani inaitwa Mufurila Wanderers iliifunga hiyo timu yetu (wewe Mkorintho unaijua) goli 4 kwa ubuyu.
Kaka, umerudi mechi za mchangani tena ambazo wenzio wanaringia vikombe vingi kwazo? Nilidhani tambo zako ni zilezile za kimataifa zaidi? Au unaanza kuji-distance nazo baada ya bakora HAMSA kutoka kwa Waarabu kaka?basi wewe una kumbukumbu nzuri sana.... yaani mie nakumbuka ile ya goli sita alipigwa mtu tena wala si na timu ya ugenini bali ya hapahapa Dar wilaya ya ilala... tena shotii mputa, bila kujali kimo alichapa tatu
VIPI, UNAIKUMBUKA HIYO?
SASA UKIJA YA MUFULIRA, TULIKWENDA NA KUWACHAPA KWAO NA KUWATOA... HIYO VIPI MAZEE?