Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Ha ha ha ha
Mkuu pole sana
Kanuni inaanza na tofauti ya mabao, halafu matokeo baina ya timu mbili husika, na mwishoe mabao ya kufunga

Mkuu, hapa kwetu kanuni ni goal difference, hatutumii head to head. Sasa kitakachotokea ni nini? Simba tutamfunga Majimaji 5-0, halafu yanga nao kupitia mobile phones watajua sisi tuna goli 5, kwa hiyo watamwambia John Tegete(baba wa Jery) afanye maarifa na ndipo Toto(makusudically kabisa!!!) wataachia goli 6 na yanga kuwa bingwa kwa goal difference. Then TFF watasema hii haikubaliki, watafuta matokeo na kuipa Azam Ubingwa. Sasa cha ajabu hawatazishusha Simba na yanga daraja.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Ndoto za mchana!
 
03_11_53w5fn.jpg

Kikosi cha Simba

jAMANI SIMBA HIYOOOO..SIMBA INA WATU KIBAO.. NATAKA NISEMEE....OHOOO OO YEEEHH
 
Mechi inaendelea....

Ni dakika ya 25 sasa,matokeo ni Simba 1 Majimaji 0.....Majimaji wanashambuliwa sana,kunaeza kuwa na mvua ya magoli leo........

Gooooooooooooooooal.................Emmanuel Okwi kafunga la 2
 
Majimaji wanapata Penati

Kadi nyekundu Meshack Abel..........

Gooooooooooooooooooooooooooooooal

Dk ya 42 Simba 2 Majimaji 1
 
Back
Top Bottom