Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
hapa wa COngo watasema simba wangetuachia tu, kwa kiwango cha waarabu TP mazembe wangepeta sana tuuuu
 
simba kapigwa cha pili. Na mpira umekwishaaaa!!!!. Simba chaliiii. Amekwisha tolewa kwenye michuano hii.
 
Haa ha ha ha..

Mkatafute tena ushindi wa nje ya uwanja, what a shame?
 
Back
Top Bottom