Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
aah! Hawa jamaa hawafai, yaani walikuwa wanavizia dakika za mwisho ndio watupige ili tusizirudishe.
 
Ni bora TP-Mazembe wangeachwa wakatetea kombe lao: Rage inabidi ajiuzuru fasta.
 
Raja Casablanca, 6–0, Young Africans

(mwaka 1998)
 
...Jaamani hebu niipate hii sawasawa. Yaani Mnyama amefungwa mabao 3 kwa Gurudumu katika Dakika zisizozidi KUMI za Mwisho??? Kweli mpira hatuwezi
 
Wakuu, Simba wanajua kutulia wanapopakatwa walahi, Rage anajua kuwaandaa utafikiri mwali katolewa ha ha ha
 
Kumbe mpira ni dk 95; dk 90 hazitoi mshindi, kama unabisha muulize Kaseja.
 
Katika dk sita za nyongeza Simba anakubali goli 3? huu ni udhaifu mkubwa kwa kocha kwani hakuwaandaa kisaikolojia. Simba timua Mganda arudi kwao kabal hamjakutana na Yanga, mtachaniana mbeleko bila sababu
 
Simba wanatumia mbinu moja dakika zote 90, ni kosa. Mpinzani ashajua unacheza vipi, ingebidi wabadilike sio kukakabakaba tu. Mbele walikuwa awaendi na wala awakufanya mashambulizi ya kutosha kuwaweka mabeki wa kiarabui kibaruani.
 
Kitu finito simba KAPAKATWA tena jamani. Baba RAGE leta fitna upyaaaaaaaa TUSONGE MBELE!!!

Ndicho wanachokiweza,

Safari hii itabidi badala ya kusajili wachezaji wao wasajili Wanasheria wa kutosha...
 
Back
Top Bottom