Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Tanzanian football needs to go back to the drawing board. Set up academies and start teaching the kids the basics and maybe in 10 years time we will be able to compete. If they do not do this we might as well forget competing at the international level.

Most of the players seem to lack the most basic skills required of a professional player at that level. This current group of Tanzanian players is beyond salvation.
 
Yah! Over it iz, kama ni baunsa ningesema wamenifi** ingawa kwa shida. Well done my Simba anyway!
 
kama viongozi wa simba walikata rufaa ilikuwaje wakauza wachezaji kabla ya kupata majibu? au tamaa ya pesa?
 
Basi tumetoka maneno mengi mno

Mkuu mbona ata TP Mazembe walishinda uwanjani lakini mka-bounce back nje ya uwanja?

Usikate tamaa, ndo kwanza mechi ya nje ya uwanja inaanza, naamini timu yenu ya Wanasheria itaisoma vizuri report ya mechi na kuandaa hoja zitakazoiwezesha Simba kusonga mbele, go Simba go...

Haa ha ha ha....
 
simba wamenifanya ni-freeze /bye bye/ dah, wacha nisubiri next match labda man watahamsha furaha yangu
 
Atacheza na nani?

Atacheza na Daring Club Motema Pembe.......

Hope Madeni ya Maharage atamtafuta Janvier Besala Bokungu mwingine ndani ya DCMP ili waende final ya Winners Cup....

Aramba aramba tena haaaaaam haaaam.................
 
Kwa wale ambao wako Tanzani na hawapendi kelele za walevi bar, basi mechi ya fainali ya UEFA unaweza kuangalia ukiwa nyumbani kupitia ATN. AGAPE TELEVISION NETWORK.
 
Timu zinazotolewa raundi ya tatu kwenye kombe la vilabu bigwa africa zinakuwa moja kwa moja zinaenda kushiriki kombe la Caf, kam haujelewa kuchulia mfano wa kombe la Europa ndogo.
Nimeelewa!!
 
simba wamenifanya ni-freeze /bye bye/ dah, wacha nisubiri next match labda man watahamsha furaha yangu
Pole kwa Simba kuchapwa,pole pia kwa Man u kuchapwa na Barcelona,nadhani leo hautolala na inavyoonyesha wewe ni mwenyeji wa mkoa wa Mwanza ambao pia leo wamelikosa kombe la Taifa kwa kuchapwa na Mbeya.Pole sana najua leo umelia sana kama kawaida yako.
 
Back
Top Bottom