Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
usiende mbali kote huko, cha msingi hapa ni kuwa Mheshimiwa sana mbunge wa (hivi ni Tabora au sehemu za DSM!?) Rage alijua fika kuwa TP Mazembe wana uwezo na simba wasingeweza kufika popote. Badala ya kuwa patriotic na kuiacha timu ya ukanda wetu ikasonga mbele akakubali kutumiwa na 'Northerners", cha ajabu anajiita mzalendo lakini huu ni muendelezo wa kilichotufikisha hapa, we have a long way to go!
Kwa hiyo afumbie macho wakati kanuni zilivunjwa kisa zimevunjwa na timu ya ukanda wetu....ndiyo maana na nchi hii kuendelea ni kazi sana kwa sababu mtoto wa shangazi yako kajenga kwenye uwanja wampira basi unafumbia macho kisa ni mtoto wachangazi au ni kada wa chama chako........
 
Mechi iuzwe wapi? nilisema simba ya rage Kimeo sasa mnayaona hadi ataiua kabisa kama hawatamfukuza abaki na sheria zake waje watu wanaotaka simba icheze mpira na siyo maneno
 
no comment but mi nilitegemea goli zaidi ya 3 .... wamejitahidi.. hongereni simba, ila next time kuweni makini zaidi na hizi rufaa lindeni hadhi yenu.. mngepigwa goli 8 ingekuwa aibu kwa soka la TZN kwa ujumla
 
usiende mbali kote huko, cha msingi hapa ni kuwa Mheshimiwa sana mbunge wa (hivi ni Tabora au sehemu za DSM!?) Rage alijua fika kuwa TP Mazembe wana uwezo na simba wasingeweza kufika popote. Badala ya kuwa patriotic na kuiacha timu ya ukanda wetu ikasonga mbele akakubali kutumiwa na 'Northerners", cha ajabu anajiita mzalendo lakini huu ni muendelezo wa kilichotufikisha hapa, we have a long way to go!

Mkuu kilichotufikisha hapa ni pamoja na kupuuzia kanuni, taratibu na sheria tulizojiwekea wenyewe, sasa kosa la Rage hapo ni lipi kukata rufaa au simba kufungwa?
Na mnaosema mpira unachezwa uwanjani ni kweli kwa mchezo wa soka site ni uwanjani lakini draft zote huanzia mezani kisha uwanjani halafu mezani ndo inakuwa mwisho wa mechi husika, ingekuwa ni uwanjani tu bila kufuata kanuni basi siku hiyo washabiki wote wa simba tungeingia uwanjani tukajaa golini halafu tungetafuta watu wenye mbio wakakakimbia na mpira kisha wautumbukize kwenye nyavu za Tp mazembe mara mbili kisha tuseme tumemaliza game si tumecheza uwanjani.
 
kwani ni mara ya kwanza mechi zetu kuuzwa? na hasa huku kwa mafarao wenye kukata mshiko wowote ili ubishi uishe.
 
Ferguson naye inasemekana kauza mechi kwa Barca ?? Haiingii akilini !!!!
 
SESE.JPG





KIONGOZI WA SIMBA AZIM DEWIJI AKIWA AMEVAA JEZI YA TP MAZEMBE AKIFUATILIA MCHEZO WA SIMBA NA WAYDAD KATIKA UWANJA WA PETRO SPORTS STADIUM.
 
DODO.JPG


KIKOSI KAMILI CHA SIMBA KILICHOCHEZA NA WAYDAD.

SIMBA%2BBECH.JPG


BENCHI LA UFUNDI LA SIMBA LIKIWA LINAFUATILIA MCHEZO HUO.
 
AMIRI.JPG



AMIRI MAFTA NA KELVIN YONDANI.

BABA.JPG




OWINO NA WACHEZAJI WENZAKE WAKIWA HOTELINI
 
mods acheni unafiki kuweni wazalendo jamani , yaani hamna hata soni?/aibu. hii threaad kwa nini mmeitoa hapo kwenye stick?, mna mmeacha za timu za ulaya ,wekeni uzalendo mbele
 
SAMATTA ALIVYOPOKEWA NA MAZEMBE PICHA
230629_212817452073889_120177301337905_722892_557532_n%255B1%255D.jpg
SANA.jpg
227123_209028322452802_120177301337905_695269_3356286_n%255B1%255D.jpg
227080_209028242452810_120177301337905_695267_2565142_n%255B1%255D.jpg
229530_212814845407483_120177301337905_722859_6489868_n%255B1%255D.jpg
248800_212816408740660_120177301337905_722876_7111539_n%255B1%255D.jpg

UWANJA WAO HUU UPO KWENYE UKARABATI
250153_212817575407210_120177301337905_722894_4980484_n%255B1%255D.jpg
 
Back
Top Bottom