Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Soka la kibongo noma,
Tunaloga lakini bado tuko pale pale,

Inasemekana simba wameeenda tanga kuiroga timu wanayoenda kucheza nayo, wameenda Tanga sasa sijui wameenda kwa Mganga Gani Tanga.
 
Jamani huku ughaibuni bado sijajua Mnyama na Motema Pembe imekuwaje?
 
Hii thread i hold kwanza na uilete kesho (12/6/2011) jioni (E.A.T) mechi bado
 
Motema Pembe waauaaaaa! MNAWASKIA AU MNAWAJUA? Hawana utani wale, hawacheki na watoto wadogo. ka paka kale kanapigwa vibaya!
 
DC Motema Pembe ni ya DR Congo, timu zote zipo uwanjani tayari zinapasha pasha misuli moto hapa...Nimekaa jukwaa la ugenini kwa watani nipate kushuhudia mtanange huu kwa karibu zaidi...
 
DC Motema Pembe ni ya DR Congo, timu zote zipo uwanjani tayari zinapasha pasha misuli moto hapa...Nimekaa jukwaa la ugenini kwa watani nipate kushuhudia mtanange huu kwa karibu zaidi...
Asante na tafadhali uwe unatupa update plz.
 
Back
Top Bottom