Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Duh Kaseja anaokoa kwenye nyuzi 90 jamaa wanashambulia kama nyuki, well done Kaseja...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hatari!!!!!!!Simba wanapata pigo Haruna Shamte anamkata mchezaji wa DCMP na kupewa kadi ya njano anamfuata refa na kutukana anapewa kadi NYEKUNDU, kosa la kipumbafu kabisa. Simba itabidi wacheze pungufu ya mchezaji mmoja kwa dakika kama 20 zilizobaki.
red card kwa haruna shamte....
full time simba 1-0 dcmp, kazi ipo mechi ya marudiano kule kinshasa wiki mbili zijazo.
Unakigezo gani cha kusema nafasi ni ndogo kwakati watu kumi wamewashinda watu kumi na mmoja?nafasi ya simba kuendelea ni ndogo..
usikate tamaa kijana !nafasi ya simba kuendelea ni ndogo..