Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Walikuwa wanajiita wazee wa Kam bak. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jana Kam Bak imekataaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mianya ya kupenyeza rupia ilizibwa hyo kam baki wangeitolea wapi? Wanafanyaga kam baki wanapopata upenyo Wa kutoa chochote[emoji2]
 
90+2'
Naaaaaaam mpira umekwishaa Uwanja wa Samora, ambapo Simba SC wanaibuka kwa ushindi wa bao moja bila majibu dhidi ya Lipuli FC
Bao la Simba limewekwa kimiani na Nahodha John Bocco dakika 23'
VPL, FT: Lipuli FC 0-1 Simba SC
 
Hello Tanzania na Kote Duniani...!
Naaam mwendelezo wa patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL, kuvurumishwa leo February 18, 2020 ambapo Mfalme wa Nyika, Mnyama Mkali, Simba SC anakwaruzana na Kagera Sugar kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Mchezo utakuwa mkali, na wa kusisimua kwa muda wote wa mchezo kutokana na mbinu kwa pande zote mbili kutoka kwa makocha wake..!
Kocha wa Simba Sven Vanderbroeck kikosi chake kimejiandaa vizuri kuhakikisha mashabiki wa Simba soka safi pamoja na ushindi wa alama tatu muhimu kwa mchezo wa leo.
Naye kocha wa Kagera Mecky Mexime, anasema mchezo utakuwa mgumu na wa ushindani Simba wapo vizuri hata hivyo wamejiandaa vizuri na wanaifahamu Simba na namna ya kuikabili ili kupata ushindi.
Wanasimba na Mdau wa Kandanda nini kitatokea uwanja wa Taifa? Kumbuka mchezo ni saa 1:00 usiku Usikose Ukaambiwa.
 
IMG_20200218_221153.png


MSIMAMO VPL

Msimamo wa ligi baada ya mechi saba za leo. Simba imezidi kujikita kileleni huku Singida United ikizidi kujichimbia kaburi.
 
Back
Top Bottom