Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
FB_IMG_1583050909070.jpg
 
Kikosi cha kuanza tarehe 08/02/2020 dhidi ya Yanga.

1. Manula
Yuko vizuri kwa sasa
2. Kapombe
Anakaba na kushambulia
3. Hussein
Anakaba na kushambulia, aache kupaniki wakati mwingine.
4. Mzee Nyoni
Anakaba na kufunga magoli kabisaa.
5. Mzee Wawa
Mtu mwenye hadhi ya Usultani.
Sultan Suleiman Khan, mlinzi wa Himaya ya Ottoman.
6. Mkude
Mkudesimba.
7. Luiz M
Anakasi ya Volvo na akiliangalia goli ni goli.
8. Cletus Chota Chama.
Mtaalamu wa kudrive mipira na kutoa pasi makini.
9. Kagere MK14,
Jitu na Nusu, ndiye mfungaji Bora wa Ligi.
10. Deo Kanda.
Anapo onekana ujue keshafunga goli.
11. Kahata.
Hapa nimekosa cha kusema kabisa.

Hiki ndicho kikosi Bora kabisa Afrika Mashariki na Kati.
Ndicho kikosi ambacho katika dakika 90 lazima kifunge magoli kuanzia mawili na kuendelea.

Matola kama sio Majeruhi hawa ndio walikupa heshima katika Mechi zote ngumu.

Amina Selehe.






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom