feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
DAH MAGUFULI YUKO UWANJANI SIMBA TUTAFUNGWA...MARA YA MWISHO ALIKUA UWANJANI TUKAPIGWA NA KAGERA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NILIWAAMBIA HUYO MZEE NA MPIRA WAPI NA WAPI.
NIMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA KWA HASIRA[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikosi changu hiki Matola na John Boko wamekivuruga na matokeo wameyaona.Kikosi cha kuanza tarehe 08/02/2020 dhidi ya Yanga.
1. Manula
Yuko vizuri kwa sasa
2. Kapombe
Anakaba na kushambulia
3. Hussein
Anakaba na kushambulia, aache kupaniki wakati mwingine.
4. Mzee Nyoni
Anakaba na kufunga magoli kabisaa.
5. Mzee Wawa
Mtu mwenye hadhi ya Usultani.
Sultan Suleiman Khan, mlinzi wa Himaya ya Ottoman.
6. Mkude
Mkudesimba.
7. Luiz M
Anakasi ya Volvo na akiliangalia goli ni goli.
8. Cletus Chota Chama.
Mtaalamu wa kudrive mipira na kutoa pasi makini.
9. Kagere MK14,
Jitu na Nusu, ndiye mfungaji Bora wa Ligi.
10. Deo Kanda.
Anapo onekana ujue keshafunga goli.
11. Kahata.
Hapa nimekosa cha kusema kabisa.
Hiki ndicho kikosi Bora kabisa Afrika Mashariki na Kati.
Ndicho kikosi ambacho katika dakika 90 lazima kifunge magoli kuanzia mawili na kuendelea.
Matola kama sio Majeruhi hawa ndio walikupa heshima katika Mechi zote ngumu.
Amina Selehe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa! Akikutana na Yanga ndio anakuwa hivyo.
Ungeingia na wewe ukafunge hilo goli kama mpira ni rahisi hivyoNashukuru sihusiki na kuwalipa Mshahara wachezaji wa Simba. Kama ningehusika ningewalipa Mshahala wachezaji kumi tu.
wachezaji wa Simba SC, endeleeni kuidhalilisha jamii ya Simba,
Iko siku mtalipa madhira yote.
Mtalipa Mtalipa Mtalipa.
Dakia 90 hata goli la Ofside Hamna...!
Mnawafikiria Mahawala zenu tu, ni kama ndio waliowaleta hapo Simba na kuwalipa Mishahara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mna points ngapi?Natangaza rasmi hili jukwaa pia ni la Yanga until further notice, mwanasimba ukionekana hapa utakuwa umevunja kanuni na taratibu..
Cc Shadeeya tunaomba ulisimamie hili
Kwa Timu ya Simba kuwa na mshambuliaji ambaye dakika tisini hapigi hata shuti Moja GOLINI ni afadhali na Mimi ambaye sijaamua kuitapeli fani ya Mpira.Ungeingia na wewe ukafunge hilo goli kama mpira ni rahisi hivyo
Nimesema sitaki mwana simba hapa