Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Simba 8-0 Singida
Kagere [emoji460]
Kanda [emoji460]
Kanda [emoji460]
Boko[emoji460]
Kagere [emoji460]
Shibob [emoji460]
Kagere [emoji460]
Kagere [emoji460]

Full-time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama katoka kubondwa na faza house, beki 3 kajichanganya kavunja kikombe sasa hasira zote za mama kubondwa kahamishia kwa beki 3
 
Maombi yanahitajika eti wanasingizia uchovu wa mechi ya tarehe 8 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG-20200312-WA0051.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo bwana, Aisha Manula kasema ukweli juu ya ubora wa faulo ilopigwa na Morrison lakini Manara Haji amechukia na kukasirika hadi kawapa jina jipya Leo hadi napata ukakasi wa kulitamka. Amesema mnaitwa "MNYER..." United, Malizieni wenyewe mana nyie mbumbumbu mnaendana
 
Attachments

  • trimmed-000-AISHI MANULA_ GOLI LA MORRISON NILIPASWA KUMPIGIA MAKOFI NA KUMPONGEZA ( 240 X 240 ).mp4
    2.2 MB
Vipi tetesi za usajili kwa Chama langu, mabingwa wa nchi zikoje? Nawaona Utopolo FC wanahaha kusajili mapema mapema..
 
Wabongo bwana, Aisha Manula kasema ukweli juu ya ubora wa faulo ilopigwa na Morrison lakini Manara Haji amechukia na kukasirika hadi kawapa jina jipya Leo hadi napata ukakasi wa kulitamka. Amesema mnaitwa "MNYER..." United, Malizieni wenyewe mana nyie mbumbumbu mnaendana
Kama nawaona vile mnavyohaha kuhamisha magoli, baada ya majina yenu mliojipa wenyewe kutrend, utopolo FC, mabonde Kuinama, mlenda United, Mkunungu sports club, gingowazi, vyura, dah mengine mtaongezea wenyewe..
 
Sasa tunahamishaje magoli hujamsikia Manara akisema ninyi ni mnyer.. united?
 
Back
Top Bottom