Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
FB_IMG_1593930610057.jpg
 
Kwa aliyeangalia mechi ya simba na ndanda kuna mpira Manula alipangua baadae ukarudi kwa mchezaji wa ndanda akapiga shiti Manula akapangua tena imeonyesha kocha bado hajafanyia kazi tatizo la mabeki wetu kuruka vichwa na pia mabaki wetu wana uzembe kwani baada ya mpira wa kwanza kupanguliwa wote walisimama sehemu moja mchezaji pekee aliyekimbilia kuokoa ingawa alikuwa mbali na hakufikia mpira ni Fraga lakini wengine wote walisimama
 
Nasikia timu yetu ya mbeleko leo imeshindikana kupewa kombe letu tulilosaidiwa kulipata na tff
 
Back
Top Bottom