Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wampe haji kukaimu u CEO, ataipaisha simba iwe kama Man City
haji ni hadhina kubwa sana kwa mnyama
hili pigo kubwa kwetu,,dahhhhh kama mwanasimba nimeumia kiasi sababu senzo alikuwa mtu makini kwetu na matokeo ya uongozi wake umeonekana kwa mda mfupi tu mwisho wa siku wanasema life always moves on (maisha siku zote yanaendelea ) Simba ni zaidi ya mtu mmoja simba nguvu mmoja[emoji123]
Hicho kikosi hakitakuwa na Defence Midfielder ?Huenda alionesha discipline mbovu ili aingie kwa wenye pesa zao,
Lakini nikitazama kushoto akae morison kulia Luis miqueson kati boko na kagere nadhani patachimbika Sana.
Mid fielder Chama na ambae atasajiliwa.
Muhimu simba ijatahidi kupata kiungo mkabaji pamoja na mabeki wawili wa kati apo nadhani hata champions league tunaweza kushiriki vizuri.
Ndo maana nikasema na atakae sajiliwa kesho stay tuned kuna habari inakujaHicho kikosi hakitakuwa na Defence Midfielder ?
Haya wamekusikia wameanza na mpanda mpira na mwisho atawapanda vichwani mwenu, sisi yetu macho.Nimefurahi sana tulivyochukua Ligi Kuu pamoja na Kombe la Shirikisho.
Pamoja na furaha hiyo, nimeona kuna kasoro za wazi katika kikosi chetu amabzo kama hazitarekebishwa basi tunaweza kulaumiana sana tukienda Champions League. Safu ya beki wa kati inayumba yumba sana na hata kiungo mkabaji tunalegalega sana. Tunahitaji maboresho ya uhakika na siyo porojo eti tuna timu nzuri.
Ukikutana na Mamelodi yenye watu kama kina Vilakazi, Laffor na Sirino utaumia sana kama hujaandaa timu yako. Angalia hata Raja Casablanca ya sasa ilivyosheheni mitambo na inavyoupiga mwingi. Haikufika pale kwa bahati.
MO asituchanganye. Usajili mzuri ni muhimu sana kipindi hiki. Aache porojo kwenye hili na menejimenti ikae sawa kufanya usajili wa maana na sio vinginevyo
"Senzo ana mwaka mmoja "tuanzie hapoosenzo dah,
jamaa ana misimamo yake,,
ishu itakuwa repot ya kocha nani aachwe nani achukuliwe,,
.swala morisson hakuli afiki kabisa,,
tumepoteza mtu muhim sana,,
Kwisha habari yetu
yetu macho na masikio.
Mkuu, umesahau yale ya Lowassa?Nyie mbona mlimsingizia kuwa jambazi na mwizi wa magari
Hilo neno 'itakuwa' linadhihirisha kwamba unahisi tu, huna uhakika na sababu mahususiishu itakuwa repot ya kocha nani aachwe nani achukuliwe,, .swala morisson hakuli afiki kabisa,,.
Let him goSenzo Mbatha
A special thank you message to @SimbaSCTanzania leadership for providing me the opportunity to lead this great club. I regrettably have tendered my resignation from the club with immediate effect. Within a short space of time , a lot has been achieved. Asanteni Sana wana Simba.
Morrison amewashika pabaya mabosi wake wa zamani huko