Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
dahhhhh kama mwanasimba nimeumia kiasi sababu senzo alikuwa mtu makini kwetu na matokeo ya uongozi wake umeonekana kwa mda mfupi tu mwisho wa siku wanasema life always moves on (maisha siku zote yanaendelea ) Simba ni zaidi ya mtu mmoja simba nguvu mmoja[emoji123]
 
Simba wampe haji kukaimu u CEO, ataipaisha simba iwe kama Man City

haji ni hadhina kubwa sana kwa mnyama
 
dahhhhh kama mwanasimba nimeumia kiasi sababu senzo alikuwa mtu makini kwetu na matokeo ya uongozi wake umeonekana kwa mda mfupi tu mwisho wa siku wanasema life always moves on (maisha siku zote yanaendelea ) Simba ni zaidi ya mtu mmoja simba nguvu mmoja[emoji123]
hili pigo kubwa kwetu,,

uzi umepoa,

wahenga wanasema ukitaka kujua umuhimu matako kalia kichwa kwanza,

ngoja tuisome kwanza
 
Huenda alionesha discipline mbovu ili aingie kwa wenye pesa zao,
Lakini nikitazama kushoto akae morison kulia Luis miqueson kati boko na kagere nadhani patachimbika Sana.
Mid fielder Chama na ambae atasajiliwa.

Muhimu simba ijatahidi kupata kiungo mkabaji pamoja na mabeki wawili wa kati apo nadhani hata champions league tunaweza kushiriki vizuri.
Hicho kikosi hakitakuwa na Defence Midfielder ?
 
Wana simba msiwe na wasi wasi tukutane kesho saa nane mchana kuna kitu kitatangazwa kwa faida
 
Tunanyonya tu mafaili kwenye laptop ya senzo,kumbe Chama hana mkataba............niachie hii picha panadol mnazo? Mmenunua yule Lunatic sisi tumejibu kea Senzo na huyu hapa

FB_IMG_1597007376451.jpg
 
Nimefurahi sana tulivyochukua Ligi Kuu pamoja na Kombe la Shirikisho.

Pamoja na furaha hiyo, nimeona kuna kasoro za wazi katika kikosi chetu amabzo kama hazitarekebishwa basi tunaweza kulaumiana sana tukienda Champions League. Safu ya beki wa kati inayumba yumba sana na hata kiungo mkabaji tunalegalega sana. Tunahitaji maboresho ya uhakika na siyo porojo eti tuna timu nzuri.
Ukikutana na Mamelodi yenye watu kama kina Vilakazi, Laffor na Sirino utaumia sana kama hujaandaa timu yako. Angalia hata Raja Casablanca ya sasa ilivyosheheni mitambo na inavyoupiga mwingi. Haikufika pale kwa bahati.

MO asituchanganye. Usajili mzuri ni muhimu sana kipindi hiki. Aache porojo kwenye hili na menejimenti ikae sawa kufanya usajili wa maana na sio vinginevyo
Haya wamekusikia wameanza na mpanda mpira na mwisho atawapanda vichwani mwenu, sisi yetu macho.
 
senzo dah,

jamaa ana misimamo yake,,

ishu itakuwa repot ya kocha nani aachwe nani achukuliwe,,
.swala morisson hakuli afiki kabisa,,

tumepoteza mtu muhim sana,,

Kwisha habari yetu

yetu macho na masikio.
"Senzo ana mwaka mmoja "tuanzie hapoo
 
Wana msimbazi tusisikitike na kukatishwa tamaa na tukio la kuondoka kwa Senzo, saizi Makonda hana kazi na kwa kuwa ni mwana simba tumpe nafasi azibe pengo lililoachwa na Senzo.

Naiminia Mikia fc timu la wakurupukaji
 
Senzo Mbatha

A special thank you message to @SimbaSCTanzania leadership for providing me the opportunity to lead this great club. I regrettably have tendered my resignation from the club with immediate effect. Within a short space of time , a lot has been achieved. Asanteni Sana wana Simba.
Let him go
 
Morrison amewashika pabaya mabosi wake wa zamani huko
 
Back
Top Bottom