Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Sherehe za kuwanyoa mikia. Nyie mikia ntaomba poo safari hii
 

Attachments

  • maneno_nyagaly_20200810_144935_0.mp4
    7.7 MB
Poleni sana mikia,Mwamedi anawadanganya,ona sasa mmeangukia pua tifua tifua
 
Mpaka kesho hio
Screenshot_20200810-201921.jpg
Screenshot_20200810-201906.jpg
 
Yanga kesho .
Angalia vizuri utaelewa picha inavoenda huko TFF.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
JamiiForums688441714.jpg
 
Inawezekana Senzo alikua ni mzri sana kwenye Management, Lakini kwa alilolifanya wakati anaondoka Simba ameonesha kua siasa za mpira wa Bongo zimeshamtafuna tayari. Ukiwa Professional uwezi ukaacha kazi kienyeji kiasi hicho.
Yule ana kibari cha kufanya kazi kwenye Kampuni ya Simba hivyo hawezi kufanya kazi Yanga bila kuwasiliana na Simba ili abadilishe kibali cha kazi.
Kwenye sheria za kazi uwezi kuacha kazi bila kuandika barua kwanza ya kuacha kazi kwa mwajiri wako.
Kwa jinsi alivyoonesha kutokua professional kwenye hili, Kwenda Yanga itakua ni hatua ya safari yake ya kwenda kwao sio kwa heshima ila kwa fedheha.
 
Updates ya iyo press vp ? Aibu timu inamwekezaji inqshindwa kujiunga live ata na wasafi tv kituo kipya hope charges zao hazitokuwaa kubwaa
 
Acha kuzubaa shika hilo la mabingwa usiwafikirie wale [emoji196][emoji196][emoji196]
JamiiForums-1213225573.jpg
 
Updates ya iyo press vp ? Aibu timu inamwekezaji inqshindwa kujiunga live ata na wasafi tv kituo kipya hope charges zao hazitokuwaa kubwaa
Hukufuatilia

Media nyingi zilikua live
Azam TV walikua live
 
Back
Top Bottom