Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Morrison kasha anza kuonja bench [emoji23][emoji23] malipo ni hapa hapa
 
*Nilichogundua ni kuwa tumewazoea sana Simba, maana nawaza*

1.Angefanya calinhos aliyofanya Chama (Goli 2 Assist Moja), kusingekalika humu, kama aliingia dk ya 80 akapiga faulo na kona tu akawa man of the match, ingekuwaje Jana ndio kacheza km Chama Je??

2.Zile fujo za Mzamiru angezifanya Mukoko humu pasingetosha

3. Zile Driblling na kasi ya shabalala angezifanya yule yassin sijui ingekuwaje humu.

4.Zile pasi 3 za konde boy za mabao angezipiga tuisila sijui ingekuwaje tu.

5.Vile vichwa na ukabaji wa Onyango ungefanywa na Mwamnyeto,tungekoma humu

6.Lile goli la Mugalu lingefungwa na Sapong nadhani angebebwa toka taifa hadi kigamboni.kama alifunga tu goli la piga nikupige akasifiwa wiki nzma,je lile la utulivu LA Mugalu?.

*NB: Tumewazoea sana hawa Simba, nadhani siyo level ya kucheza na timu za bongo pale kwa mkapa,ndio maana hatuwashangai sana*.
 
Bandiko mahususi kabisa kiukwel simba simba inapiga mwingi sana tuache utani kikosi kizima kinapiga kazi hatari
 
*Nilichogundua ni kuwa tumewazoea sana Simba, maana nawaza*

1.Angefanya calinhos aliyofanya Chama (Goli 2 Assist Moja), kusingekalika humu, kama aliingia dk ya 80 akapiga faulo na kona tu akawa man of the match, ingekuwaje Jana ndio kacheza km Chama Je??

2.Zile fujo za Mzamiru angezifanya Mukoko humu pasingetosha

3. Zile Driblling na kasi ya shabalala angezifanya yule yassin sijui ingekuwaje humu.

4.Zile pasi 3 za konde boy za mabao angezipiga tuisila sijui ingekuwaje tu.

5.Vile vichwa na ukabaji wa Onyango ungefanywa na Mwamnyeto,tungekoma humu

6.Lile goli la Mugalu lingefungwa na Sapong nadhani angebebwa toka taifa hadi kigamboni.kama alifunga tu goli la piga nikupige akasifiwa wiki nzma,je lile la utulivu LA Mugalu?.

*NB: Tumewazoea sana hawa Simba, nadhani siyo level ya kucheza na timu za bongo pale kwa mkapa,ndio maana hatuwashangai sana*.
Mkuu wale vyura wana uhaba sana wa Quality Player kama waliopo Simba.
 
Ukitaka uone hawa watu wanavyochanganyikiwa basi mida hii wasikie marefa wanasema " Leo mkatumie uwezo wenu mshinde sisi tutatenda haki tu Leo"
Kwamba mpaka red card ndio mshinde au kunawa ndani ya box na refa kutulia sio?
 
True
Screenshot_2020-09-21-11-02-25.jpeg
 
Back
Top Bottom