Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kwenye usajili wa Peter Banda ni perfect kabisa

Israel Patrick Mwenda good future investment

Sasa tuna fullbacks wawili wachanga tena wazuri sana David Kameta
Israel Patrick Mwenda

Tukipata na Midfielder mchanga kama backup plan kwa kina Mkude na Lwanga tutakuwa vizuri sana.

Kelvin Nashon Naftali would be a good signing
 
Mashabiki wa Simba wanajua sana socer aisee.
Kwenye usajili wa Peter Banda ni perfect kabisa

Israel Patrick Mwenda good future investment

Sasa tuna fullbacks wawili wachanga tena wazuri sana David Kameta
Israel Patrick Mwenda

Tukipata na Midfielder mchanga kama backup plan kwa kina Mkude na Lwanga tutakuwa vizuri sana.

Kelvin Nashon Naftali would be a good signing
Fact tupu,yani ume focus kuona mbele pia tuendapo.
 
Hivi kumbe kosa la mkude lilikua kutia voko? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom