Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Wanasimba wapi naweza kupata jezi ya Simba size ndogo kwa ajili ya Kijana wangu aged 11. Nimenunua kwenye Simba App small size kwake imekuwa kubwa.
 
Msimu huu tutakuwa na tatizo kubwa Sana la kufunga magoli dalili znaonesha hivo mapema kbs
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachekesha inaezekana mpira hamuufaham vizuri top 3 ya wote waliongoza kwa magoli hamna alieondoka sasa tutakuaje na uhaba wa magoli ???? Na bado muhilu ameongezeka chamoto mtakiona msimu huuu
 
Mi Simba mwenzio
Kuondoka kwa Chama Kuna kitu kimepungua katika timu yetu ,utengenezaji wa nafasi za kutunga umepungua Sana
 
Msimu huu tutakuwa na tatizo kubwa Sana la kufunga magoli dalili znaonesha hivo mapema kbs
Yawezekana strikers wetu walikuwa hawaanzi ndiyo maana.

Ila dalili siyo nzuri tumecheza na timu za kawaida with few goals.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachekesha inaezekana mpira hamuufaham vizuri top 3 ya wote waliongoza kwa magoli hamna alieondoka sasa tutakuaje na uhaba wa magoli ???? Na bado muhilu ameongezeka chamoto mtakiona msimu huuu
Chama na Luis wameondoka na magoli yao 40 mkuu

Katika goli 17 tulizofunga Champions league

Chama 5
Luis 3
Bocco 3
Bwalya 2
Mugalu 2
Kapombe 1
Moh hussein 1.

Unaweza kuona nusu ya magoli walifunga wao Luis pekee katika magoli hayo ana assist 6.
 
Tuwe na subira jumapili tutaona uelekeo wa timu yetu
Uelekeo siyo mbaya ila kutofunga magoli kunatupunguzia confidence hasa ukizingatia tumeruhusu goli kwenye kila game ya pre season though golikipa alikuwa ni Salimu tu
 
Back
Top Bottom