Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Muhimu wanafanyia maboresho kila sehemKwenye preseason team yetu ufungaji wa magoli umesuasua kulikoni ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhimu wanafanyia maboresho kila sehemKwenye preseason team yetu ufungaji wa magoli umesuasua kulikoni ?
Mechi ya nne sasa lakini tumefunga goal nne tu na tatu zimefungwa na mtu mmoja.Muhimu wanafanyia maboresho kila sehem
Uko mkoa ganiWanasimba wapi naweza kupata jezi ya Simba size ndogo kwa ajili ya Kijana wangu aged 11. Nimenunua kwenye Simba App small size kwake imekuwa kubwa.
Njoo tabata anko herry classic size zote zinapatikana.Niko Dsm
Tabata eneo gani hasa?Njoo tabata anko herry classic size zote zinapatikana.
hii list kama kwa mechi ya ndani sawa ila kwa mechi ya kimataifa toa Mkude hapo.4 2 3 1
Manula.
Kapombe Wawa Onyango Mohamed
Lwanga Mkude
Banda Bwalya Sakho
Mugalu.
Msimu huu tutakuwa na tatizo kubwa Sana la kufunga magoli dalili znaonesha hivo mapema kbsMechi ya nne sasa lakini tumefunga goal nne tu na tatu zimefungwa na mtu mmoja.
Kulikoni ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachekesha inaezekana mpira hamuufaham vizuri top 3 ya wote waliongoza kwa magoli hamna alieondoka sasa tutakuaje na uhaba wa magoli ???? Na bado muhilu ameongezeka chamoto mtakiona msimu huuuMsimu huu tutakuwa na tatizo kubwa Sana la kufunga magoli dalili znaonesha hivo mapema kbs
Kinyerez msikitin mzeeTabata eneo gani hasa?
Mi Simba mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachekesha inaezekana mpira hamuufaham vizuri top 3 ya wote waliongoza kwa magoli hamna alieondoka sasa tutakuaje na uhaba wa magoli ???? Na bado muhilu ameongezeka chamoto mtakiona msimu huuu
Nyoni siku zote ni back up tu kama hao viumbe hawapo.hii list kama kwa mechi ya ndani sawa ila kwa mechi ya kimataifa toa Mkude hapo.
weka Nyoni.
Yawezekana strikers wetu walikuwa hawaanzi ndiyo maana.Msimu huu tutakuwa na tatizo kubwa Sana la kufunga magoli dalili znaonesha hivo mapema kbs
Chama na Luis wameondoka na magoli yao 40 mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachekesha inaezekana mpira hamuufaham vizuri top 3 ya wote waliongoza kwa magoli hamna alieondoka sasa tutakuaje na uhaba wa magoli ???? Na bado muhilu ameongezeka chamoto mtakiona msimu huuu
Tuwe na subira jumapili tutaona uelekeo wa timu yetuYawezekana strikers wetu walikuwa hawaanzi ndiyo maana.
Ila dalili siyo nzuri tumecheza na timu za kawaida with few goals.
Yawezekana strikers wetu walikuwa hawaanzi ndiyo maana.
Ila dalili siyo nzuri tumecheza na timu za kawaida with few goals.
Uelekeo siyo mbaya ila kutofunga magoli kunatupunguzia confidence hasa ukizingatia tumeruhusu goli kwenye kila game ya pre season though golikipa alikuwa ni Salimu tuTuwe na subira jumapili tutaona uelekeo wa timu yetu
Ukumbuke ameletewa kanouteNyoni siku zote ni back up tu kama hao viumbe hawapo.
Msimu huu Mkude atakuwa wa moto sana