Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
[emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_16350916828862927.jpg


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Leo hatukuwa na bahati kabisa magoli tulokosa hongera zake kwa kipa wao aisee ila lile goli la pili uzembe wa Manula na Wawa
Leo hamkua na bahati, ila kule Botswana bahati ndio iliyowabeba mlikuwa mnaruka ruka mkaokoteza magoli ya ndondokela.
 
Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji ameushauri uongozi wa klabu hiyo kuwachukulia hatua madhubuti waliohusika Simba kupoteza mchezo wa leo na kutolewa Klabu Bingwa Afrika, na kwamba kilichotokea hakikubali.

Simba imetolewa kwenye mashindano hayo na Jangwen Galaxy ya Botswana. https://t.co/uw2QjlZDdD
 
Nikisema Jwaneng, malizika Galaxy

Haya

Jwaneng ...

Jwaneng ...

Jwaneng ...

[emoji1787][emoji1787]
 
Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji ameushauri uongozi wa klabu hiyo kuwachukulia hatua madhubuti waliohusika Simba kupoteza mchezo wa leo na kutolewa Klabu Bingwa Afrika, na kwamba kilichotokea hakikubali.

Simba imetolewa kwenye mashindano hayo na Jangwen Galaxy ya Botswana. https://t.co/uw2QjlZDdD
Yeye mbona ameuza Chama na Mikisoni hakuna aliyemchukulia hatua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaeni kwa kutulia Makolo
 
Simba oyeeeeeeeeee! Kwa Mzee Mkapa hatoki mtu. Je katoka mtu au kabakia?

Je mmeshinda goli ngapi au mmeshinda njaa?
 
CAF Confederation Cup

POT 1
TP Mazembe 🇨🇩
Simba SC 🇹🇿
Zanaco FC 🇿🇲
ASEC Mimosas 🇨🇮
FC Nouadhibou 🇲🇷
AS Otoho d'Oyo 🇨🇬
Rivers United 🇳🇬

POT 2
Gor Mahia FC 🇰🇪
Marumo Gallants 🇿🇦
JS Saoura 🇩🇿
Red Arrows FC 🇿🇲
DC Motema Pembe 🇨🇩
Al Ahli Tripoli 🇱🇾
GD Interclube 🇦🇴
Binga FC 🇲🇱

POT 3
Tusker FC 🇰🇪
Royal Leopards 🇸🇿
APR FC 🇷🇼
US Gendarmerie 🇳🇪
LPRC Oilers 🇱🇷
AS Maniema Union 🇨🇩
Al Ittihad SC 🇱🇾
Stade Malien 🇲🇱
Hearts of Oak 🇬🇭

POT 4
RS Berkane 🇲🇦
Pyramids FC 🇪🇬
JS Kabylie 🇩🇿
Enyimba FC 🇳🇬
CS Sfaxien 🇹🇳
Cotonsport FC 🇨🇲
Orlando Pirates 🇿🇦
Al Masry SC 🇪🇬

POT 1
7 Highest ranked teams from Champions League

POT 2
8 Lowest ranked teams from Confederation Cup

POT 3
9 Lowest ranked teams from Champions League

POT 4
8 Highest ranked teams from Confederation Cup

Draw Procedure

POT 1 vs. POT 2

POT 4 vs. POT 3

Thank You!

#TotalEnergiesCAFCC
 
Aliyekuwa Kocha msaidizi wa Klabu ya Simba SC, Thierry Hitimana amekuwa Kocha Mkuu wa Simba katika kipindi hiki cha mpito akisaidiwa na Selemani Matola.

Hitimana anakamata nafasi hiyo baada ya Simba kuachana na Kocha Mkuu M-faransa Didier Gomes Da Rosa.

Gomez aliajiriwa Simba SC msimu uliopita kuchukua nafasi ya Sven Vandebroek ambaye aliachana na Simba SC kwa madai ya majukumu ya kifamilia lakini baadae akaibukia klabu ya FAR RABAT ya Morocco.

Kwenye Ligi ya nyumbani aliiongoza Simba kushinda Ligi Kuu kwa mara ya 4 mfululizo na Kombe la FA mara ya pili mtawalia.

Simba imetwaa vikombe 4 na makocha tofauti tofauti Pierre Lechante, Patrick Aussems, Sven Vandebroke na Didier Gomez.

Gomez pia aliibuka Kocha bora wa msimu wa Ligi Kuu kwenye tuzo za TFF ambazo zilitawaliwa na Simba SC zilizofanyika tarehe 21.10.2021.
 
Back
Top Bottom