Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Vimba Mwananchiiiii a.k.a Utopolo[emoji28]Haswaa. [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vimba Mwananchiiiii a.k.a Utopolo[emoji28]Haswaa. [emoji1787]
AlivurugwaKhaa. Msemaji huyo hana habari na kilichotokea 🤣🤣🤣
Hahaha wenyeji wamekimbia nyumba yaoHuu uzi mniuzie niwe na post connection naona kama umetelekezwa
Wazee wa pori wameingia mitini, siku wakishinda tu utawaona kule kwenye uzi wa YANGA aka Wananchi.Huu uzi mniuzie niwe na post connection naona kama umetelekezwa
Babu angalia hizi hasira zisije kuturudia maana wanasema" in every action there is an equal and opposite reaction".Simba forever, kesho ni hasira nyingi sana zinaenda kuwashukia wakata miwa
Angalia mtani, kwani hata Mtibwa nao wanahitaji point pia. Kama polisi wanavyozihitaji point za YANGA. Ligi ngumu mwaka huu.Simba forever, kesho ni hasira nyingi sana zinaenda kuwashukia wakata miwa
Umenena sahihi mtaniAngalia mtani, kwani hata Mtibwa nao wanahitaji point pia. Kama polisi wanavyozihitaji point za YANGA. Ligi ngumu mwaka huu.
Newton's 3rd law of motion,Babu angalia hizi hasira zisije kuturudia maana wanasema" in every action there is an equal and opposite reaction".
Inafika kipindi lazima ukubali ukweli ili uwe huru.Tunapigwa vita sana wazee..sitaki kuamini kama tuna timu mbovu kiasi hicho..ila kuna mazingira unaona kabisa wenzetu wanatengenezewa..ila ligi bado..
Ukweli kwamba yanga anabebwa?Inafika kipindi lazima ukubali ukweli ili uwe huru.