Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Wananchi mbona siku za hivi karibuni mmevamia uzi wetu kwa fujo sana? Tatizo nini? Au mmeshindwa kulipia ile efu 29 ili mpewe kibali cha kucht kwny group la Yanga basi hasira zenu mkaamua kuja kutumalizia sisi makolo eti??
 
Simba forever, kesho ni hasira nyingi sana zinaenda kuwashukia wakata miwa
 
Tunapigwa vita sana wazee..sitaki kuamini kama tuna timu mbovu kiasi hicho..ila kuna mazingira unaona kabisa wenzetu wanatengenezewa..ila ligi bado..
 
Tunapigwa vita sana wazee..sitaki kuamini kama tuna timu mbovu kiasi hicho..ila kuna mazingira unaona kabisa wenzetu wanatengenezewa..ila ligi bado..
Inafika kipindi lazima ukubali ukweli ili uwe huru.
 
Back
Top Bottom