Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
1. Junior Ajay
2. Yaw Annor
3. Frank Mbella Etourga
4. John Bocco
5. Abubakary Nassir
6. Ricky Banda
Hao niliokutajia they are far better than Mayele.
Adi Bocco duuuhh huu sasa uchale [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao wote uliowataja sio size ya Mayele, huyu sio level za NBC mzee sema basi tu.
Angekuwa siyo size ya NBC usingemuona huku.

Kama ameshindwa kuwa mfungaji bora katika ligi unayosema siyo size yake ligi size yake Ingekuwaje sasa.
Mayele ni mchezaji mzuri lakini siyo level za hao niliowataja hapo juu.
 
Bocco alikuwa mfungaji bora kwenye ligi isiyokuwa na ushindani kama ya sasa.
Kwa hiyo ligi ya ushindani imeanza mwaka gan? unajua unayemfanisha na bocco hajawahi kuchukua kabisa kiatu cha mfungaji Bora? ni wazi kwamba bocco kazeeka na mayele yupo katika ubora wake Kwa sasa Ila Hilo lisifanye tukajipofusha kuona yaliyofanywa na wengine, bocco anakimbiza rekodi ya top scorers wa muda wote ligi kuu, tambwe kachukua mara kadhaa kiatu akiwa Simba na Yanga. Mayele hata akichukua kiatu mwaka huu bado ana Safari ndefu kufikia rekodi za wenzake, hajafika hata nusu ya mafanikio ya wenzake
 
Simbaaa
Screenshot_20221112-183824.jpg
 
Kupata vichekesho kama hivi [emoji3516][emoji3516] tubonyeze wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unachoshindwa kujua ni kwamba John Bocco ndiyo mwenye rekodi kubwa zaidi ya mchezaji yoyote aliyewahi kuicheza ligi kuu Tanzania bara akiwa ndiyo record goal scorer.
Hakuna kama Mayele tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.

Hakuna kama Diarra tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.

Hakuna kama Bangala tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.

Hakuna kama Fei tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.

Hakuna kama Aziz Ki tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.

Hakuna kama Nabi tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.

Na hakuna timu iliyowahi kuwa organized kama Yanga hii tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz, huu ni ukweli mchungu ambao kila mtu anaujua.
 
Back
Top Bottom