Kwa hiyo ligi ya ushindani imeanza mwaka gan? unajua unayemfanisha na bocco hajawahi kuchukua kabisa kiatu cha mfungaji Bora? ni wazi kwamba bocco kazeeka na mayele yupo katika ubora wake Kwa sasa Ila Hilo lisifanye tukajipofusha kuona yaliyofanywa na wengine, bocco anakimbiza rekodi ya top scorers wa muda wote ligi kuu, tambwe kachukua mara kadhaa kiatu akiwa Simba na Yanga. Mayele hata akichukua kiatu mwaka huu bado ana Safari ndefu kufikia rekodi za wenzake, hajafika hata nusu ya mafanikio ya wenzake