Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Kenya, kwenye uwanja wa Kasarani.
Niko ground mkuu, timu yetu ya Simba ni nzuri jamaa nao ni wazuri pia.pamoko sana mkuu nimekupa so unasikiliza au upo ground
Mkuu hivi ulikuwa serious kweli unataka kujua mechi inachezwa wapi? Mimi nilidhani unatania, mechi inapigwa Taifa.vizuri kwenda nje kwa freindlies match kuliko kucheza hapahapa bongo ndio maana wakienda nje hawachezi vizuri naona wanajipanga kwa gemu na chama langu azam fc..
Jamaa wamepata goli la pili, du hapa tunasononeka tu.
Sio mbaya, matokeo yeyote sawa tu, yatakuwa yameonesha jinsi tulivyo. Hii ni mechi nzuri ya kumwezesha kocha kujua mapungufu ya timu yake kabla ya mambo mazito kuanza.
Mkuu Masuke nimekuelewa uliposema timu yenu nzuri! Isingekuwa nzuri ingefungwa nyingi zaidi!! Ha ha ha ....
vizuri kwenda nje kwa freindlies match kuliko kucheza hapahapa bongo ndio maana wakienda nje hawachezi vizuri naona wanajipanga kwa gemu na chama langu azam fc..
siimpatii picha maulid baraka wa kitenge leo kwenye kipindi cha michezo redio one..