Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Wazee hata mimi nashauri tupewe kombe tule kona zetu tu.
 
nnyama nnyama nkali, mwaka huu hakuna ntu anayeweza kutuzuia, tutafanya kuzifunga kila timu inayojifanya kujileta
 
Wazee hata mimi nashauri tupewe kombe tule kona zetu tu.

Ni kweli kaka na hii itasaidia kusevu Pesa ambazo zinaweza kupelekwa Kule Kilosa au mnasemaje! Tukabidhiwe Ubingwa tuokoe pesa zinazoendesha hii ligi
 
Yeah, wadau tupo kibao humu ikiwa ni pamoja na mkulu Maxence !!
Kumbe wadau wengi sana eeh
Hapa uwanjani wapo Prof. Kapuya na Prof. Rwekaza Mukandala ni baadhi ya washabiki tu wa Msimbazi waliojazana hapa
 
Mkuu Sipo endelea kutupa matokeo na mwenendo wa mchezo kwa ujumla. Leo nimebanwa na shughuli nimeshindwa kwenda kuwaona Wekundu wa Msimbazi wakitandaza gozi. Tupe line-up pia ikiwezekana. Nilikuwa na hofu kidogo baada ya kuambiwa mastaa wengi kama Owino, Echessa, Okwi na wengine hawapo.
 
pamoja mkuu, simba unajua ina wachezaji mbadala wengi sana, sioo kama majirani wenzetu wanategemea baadhi ya wachezaji
 
Goooooooooooooooooooooooooooool

Dakika ya 57 Mgosi anaandika goli la tatu

Simba 3 Prison 0
 
Goooooooooooooooooooooooooooool

Dakika ya 57 Mgosi anaandika goli la tatu

Simba 3 Prison 0
Ndio nilikuwa naweka mkuu ukawa fasta zaidi, Simba inatisha wajameni. Mgosi kapiga mawili pekee yake
 
Simba 3 prisons 1
goal la simba limefungwa na Mgosi
Goal la Prisons limefungwa na Misango
 
nnyama anafanya kutisha!! ngona nikanchalimie njomba nchumali chacha!!
 
Wakuu inafurahisha sana . tunashukuru sana kwa updates. tuko pamoja wakuu.
 
Back
Top Bottom