Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kaka Ngoja tuzichange za Milangoni tutakarabati tu si unajua sisi Mgao wa Kagoda haukutupia, Nyinyi Kandambili matajiri bana maana kuanzia Mafisadi Papa hadi Mafisadi Nyangumi yanatoa Msaada! Ngoja Ligi ikiisha tutatumia pesa ya Zawadi ya Mshindi wa Kwanza Kufanya Ukarabati

Heheeeeee,fanyeni hivyo bana,Simba ni timu kubwa sana aisee

Kuhusu mafisadi kuwekeza kwenye soka mi naona pouwa tu sema Simba sijui imekuwaje miaka hii wakakosa wafadhili(kama ilivokuwa kipindi cha nyuma kwa Mohammed Enterprise,NBC Bank na Tanga Cement),mafisadi wengi siku hizi duniani wanaamua kuwekeza kwenye soka(kama type ya akina Abromavich,Berlusconi n.k)

Binafsi nashangazwa mno kuona mpaka leo vilabu vya Simba na Yanga vinakaa kutegemea mapato ya mlangoni ama wafadhili kama akina Manji,hizi timu zingekuwa makini sasa hivi zingekuwa mbali sana kifedha(zingekuwa na mitaji ya nguvu na ya kutosha),zingejitosheleza kwa kila kitu badala ya kutegemea vitu kama kulipa mishahara ya wachezaji kwa kutegema fedha za akina Manji ama Yanga family na Dionis Malinzi ama Friends of Simba

Hivi wanashindwa kweli kutafuta wadhamini watakaowatumia kutangaza biashara zao kwa malipo mfano Arsenal(Fly Emirates),Chelsea(Samsung),Liverpool(Carlsberg),Man Utd(AIG) n.k.Pia timu zinashindwa nini kutengeneza fulana(jezi) zenye majina ya wachezaji wao,kofia,kaptura,majaketi,tracksuits,masweta n.k na kuanzisha maduka maalum kwa ajili ya kuuza bidhaa zao?,ama wanashindwa nini kuanza kuuza hisa pale DSE??,au timu kama Yanga inashindwa nini kuuendeleza uwanja wake wa Kaunda na kuufanya utumike kwa mechi zao za nyumbani za VodaCom Premier League??..Nafasi zipo nyingi tu wanashindwa kuzitumia

Nilichoona so far ni kwamba politiki nazo zinachangia sana kudidimiza maendelao ya vilabu vya soka vya Tanzania,pia viongozi wengi huingia madarakani kwa lengo la kuvitumia vilabu kama vyanzo vyao vya mapato hivyo kupelekea kuwaza matumbo yao wao na familia zao badala ya kufikiria maendeleo ya vilabu vyao..Pia huwa nashangaa kuona malengo ya viongozi kuwa ni(hasa wa Simba na Yanga) kuwa ni kuifunga Yanga ama Simba badala ya kueleza atafanya nini kuiendeleza klabu kiuchumi..Inasikitisha sana

Pamoja sana wakuu wangu katika michezo
 
Umeongea Pwenti tupu Mtani tatizo Vilabu vinaongozwa na Maamuma, Wasomi wa kweli hawana nafasi katika hivi Vilabu
 
Nimeipitia makala yako taratiibu na kwa umakini mkubwa.
Sasa umefika wakati wa wewe kunitajia ufisadi wa huyo muheshimiwa Silvio Berlusconi ambaye pia ni waziri mkuu wa Italia...
Naomba unitakie tafadhali.
 
Kweli kupenda kitu kibayaa jamani,kwa taarifa yako Berlusconi ni fisadi hasa,tena nyangumi...Soma hapa chini utaona ni jinsi gani huyu bwana alivyo na mituhuma kibao ya ufisadi

Silvio Berlusconi corruption charges taken to Italy's highest court

Prime Minister Silvio Berlusconi's hopes of having a corruption case against him dismissed were dealt a blow after judges decided to refer the matter to Italy's highest court.

Judges in Milan will seek guidance from the Constitutional Court on the legality of a law pushed through by Mr Berlusconi's government in July which grants immunity from prosecution to the country's four highest ranking politicians, including the prime minister.
Mr Berlusconi, 72, has been on trial since March 2007 on charges of giving £350,000 from alleged "secret funds" to David Mills, his former tax lawyer and the estranged husband of UK Olympics minister Tessa Jowell.
The money was allegedly paid in exchange for Mr Mills giving false testimony at two other trials in the 1990s. Both defendants deny the charges.
Even if Mr Berlusconi is eventually successful in having the charges against him dropped, the judges indicated that the case against Mr Mills will continue.
Judges in Milan ruled that the Constitutional Court should decide whether the law violates constitutional principles, including the one that all citizens are equal before the law.
Pushing the immunity law through parliament was one of Mr Berlusconi's first legislative acts after his centre-right coalition swept to power in April.
The media magnate has repeatedly accused the country's magistrates of waging a personal vendetta against him since he entered politics 14 years ago.
He claims he introduced the immunity law because his ability to govern the country was being compromised by having to fight constant legal battles.
"Milan judges refuse to apply norms passed by parliament to allow the premier to deal with the country's problems. They want to have him here at the trial instead," said Niccolo Ghedini, a Berlusconi lawyer.
"I am convinced that the constitutional court will consider the Alfano law [of immunity] absolutely constitutional, so I am waiting for its ruling without any worries," said Mr Ghedini.
In 2004, the Constitutional Court overturned another immunity law, passed by a previous Berlusconi government.
During his long battle with the courts, Mr Berlusconi, a self-made billionaire, has faced charges ranging from tax fraud and corruption to false accounting and illegally financing political parties.
Although some initial judgments have gone against him, he has never been definitively convicted.

Nyingine hizi hapa chini

http://www.time.com/time/world/article/0,8599,1929131,00.html

http://communities.canada.com/vanco...vio-berlusconi-defies-corruption-charges.aspx

http://www.smh.com.au/world/berlusconis-fight-to-avoid-charges-at-mercy-of-judges-20091006-glck.html
 
Nimeipitia makala yako taratiibu na kwa umakini mkubwa.
Sasa umefika wakati wa wewe kunitajia ufisadi wa huyo muheshimiwa Silvio Berlusconi ambaye pia ni waziri mkuu wa Italia...
Naomba unitakie tafadhali.

Pia hili la mmiliki wenu na Mafia limekaaje??

Alleged links to the Mafia
Silvio Berlusconi has never been tried on charges relating to the Mafia, although several Mafia turncoats have stated that Berlusconi had connections with the Sicilian criminal association. The claims arise mostly from the hiring of Vittorio Mangano, charged for Mafia association, as a gardener and stable-man at Berlusconi's Villa San Martino in Arcore, a small town near Milan. It was Berlusconi's friend Marcello Dell'Utri (convicted of extortion in association with Cosa Nostra in 2004) who introduced Mangano to Berlusconi in 1973.[41][42] Berlusconi denied any ties to the Mafia. Marcello Dell'Utri even stated that the Mafia did not exist at all.
Heated debate on this issue emerged again in 2004 when Dell'Utri, the manager of Berlusconi's publishing company Publitalia '80 and a Forza Italia senator was sentenced to nine years by a Palermo court on charge of "external association to the Mafia",[42][43] a sentence describing Dell'Utri as a mediator between the economical interests of Berlusconi and members of the criminal organization. Berlusconi refused to comment on the sentence.
In 1996, a Mafia informer, Salvatore Cancemi, declared that Berlusconi and Dell'Utri were in direct contact with Salvatore Riina, head of the Sicilian Mafia in the 1980s and 90s. Cancemi disclosed that Fininvest, through Marcello Dell'Utri and mafioso Vittorio Mangano, had paid Cosa Nostra 200 million lire (100 000 euro) annually. The alleged contacts, according to Cancemi, were to lead to legislation favourable to Cosa Nostra, in particular the harsh 41-bis prison regime. The underlying premise was that Cosa Nostra would support Berlusconi's Forza Italia party in return for political favours.[44] After a two-year investigation, magistrates closed the inquiry without charges. They did not find evidence to corroborate Cancemi’s allegations. Similarly, a two-year investigation, also launched on evidence from Cancemi, into Berlusconi’s alleged association with the Mafia was closed in 1996.[41]
According to yet another mafia turncoat, Antonino Giuffrè – arrested on 16 April 2002 – the Mafia turned to Berlusconi's Forza Italia party to look after the Mafia's interests, after the decline in the early 1990s of the ruling Christian Democrat party, whose leaders in Sicily looked after the Mafia's interests in Rome. The Mafia's fall out with the Christian Democrats became clear when Salvo Lima was killed in March 1992. "The Lima murder marked the end of an era," Giuffrè told the court. "A new era opened with a new political force on the horizon which provided the guarantees that the Christian Democrats were no longer able to deliver. To be clear, that party was Forza Italia."[45] Dell'Utri was the go-between on a range of legislative efforts to ease pressure on mafiosi in exchange for electoral support, according to Giuffrè. "Dell'Utri was very close to Cosa Nostra and a very good contact point for Berlusconi," he said.[46] Mafia boss Bernardo Provenzano told Giuffrè that they "were in good hands" with Dell'Utri, who was a "serious and trustworthy person". Provenzano stated that the Mafia's judicial problems would be resolved within 10 years after 1992, thanks to the undertakings given by Forza Italia.[42][45]
Giuffrè also said that Berlusconi himself used to be in touch with Stefano Bontade, a top Mafia boss, in the mid 1970s. At the time Berlusconi still was just a wealthy real estate developer and started his private television empire. Bontade visited Berlusconi's villa in Arcore through his contact Vittorio Mangano.[47] Berlusconi's lawyer dismissed Giuffrè's testimony as "false" and an attempt to discredit the Prime Minister and his party. Giuffrè said that other Mafia representatives who were in contact with Berlusconi included the Palermo Mafia bosses Filippo Graviano and Giuseppe Graviano.[48] The Graviano brothers allegedly treated directly with Berlusconi through the business-man Gianni Letta, somewhere between September/October 1993. The alleged pact with the Mafia fell apart in 2002. Cosa Nostra had achieved nothing.[49]
Dell'Utri's lawyer, Enrico Trantino, dismissed Giuffrè’s allegations as an "anthology of hearsay". He said Giuffrè had perpetuated the trend that every new turncoat would attack Dell'Utri and the former Christian Democrat prime minister Giulio Andreotti in order to earn money and judicial privileges.[47]
In October 2009, Gaspare Spatuzza, a Mafioso turned pentito in 2008, has confirmed Giuffrè statements. Spatuzza testified that his boss Giuseppe Graviano had told him in 1994 that Berlusconi was bargaining with the Mafia, concerning a political-electoral agreement between Cosa Nostra and Berlusconi’s party Forza Italia. Spatuzza said Graviano disclosed the information to him during a conversation in a bar Graviano owned in the upscale Via Veneto district of the Italian capital Rome. Dell'Utri was the intermediary, according to Spatuzza. Dell'Utri has dismissed Spatuzza's allegations as "nonsense". Berlusconi’s lawyer and MP for the PdL, Niccolò Ghedini said that "the statements given by Spatuzza about prime minister Berlusconi are baseless and can be in no way verified
 
Nimekugongea senksi mtani wa jadi, nashukuru kwa kuweka humu kwani hata GC atakuwa anaelewa kwamba si lazima ukipendacho kitakuwa na sifa nzuri tu. Pamoja na hayo, Felicien Ndume wa Ndume atakuwepo kikosini Jumamosi, sijui hali itakuwaje!!
 
asalaam aleykum wapenzi wa yanga maopita hapa kwenye ka-mgahawa ketu na pia nawapa pole kwa yaliyowakuta jumamosi... niliwashangilia lakini wapi naona jamaa wamecheza mayenu yanguvu

si haba.... next time 😱
 
unajua CAF walikuwa wanaakili sana pindi walivyoiweka simba icheze champions league ya africa,bahati mbaya ndugu zetu wakang'anga'nia wacheze wao utafikiri wana uwezo kumbe urojo mtupu
NB: Nimesikia wachezaji wao wanalalamika njaa so ushauri wangu ili wasiendelee kuaibisha nchi ni bora nauli ya kwendea kin wawalipe wachezaji wao tu
jamani ni ushauri tu sijengi chuki
 
Habari yenyewe ndio hii hapo chini

Wachezaji Yanga walia njaa Monday, 15 February 2010 04:16
*Uongozi kujadili kipigo leo

Na Mwandishi Wetu

BAADHI ya wachezaji wa timu ya Yanga, wameulalamikia uongozi wa klabu hiyo kwa kuwacheleweshea mishahara yao ya Januari, huku wakiwa hawana taarifa zozote juu ya mishahara hiyo ambayo wao wanaitegemea kwa matumizi mbalimbali.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti Dar es Salaam jana na kuomba majina yao yahifadhiwe, wachezaji hao walisema wanashangaa kuona mpaka wanacheza mchezo wao wa kwanza katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, bila kulipwa mshahara wa Januari jambo ambalo linawatia wasiwasi na kuwavunja moyo.

''Huwezi kuamini mpaka sasa, hatujalipwa mishahara yetu ya Januari, alafu jambo la kushangaza viongozi wanachozungumza hatukielewi, sasa mimi naona ni bora watuambie moja hatma ya fedha zetu, kama kukopa tuanze kukopa,'' alilalamika mmoja wa wachezaji hao.

Aliendelea kusema kwamba licha ya kuwa walituambia wangetupa kabla ya kuanza kwa michuano hiyo ya kimataifa, lakini wanashangaa siku zinakwenda bila kupewa taarifa zozote, kitu kinachowanyima raha kila wakirudi nyumbani kwani wao wanafamilia zinazowategemea.

Akizungumzia sakata hilo Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Lawrance Mwalusako alikiri kwamba ni kweli mshahara wa Januari, hawajawapa wachezaji wao lakini tayari kila kitu kipo vizuri na kuanzia leo huo mchakato wa kuwalipa fedha zao utaanza.

''Ni kweli mshahara wa Januari hatujawalipa wachezaji wetu hadi sasa, lakini tulikubaliana kwamba tutawapa mishahara hiyo baada ya kumalizika kwa mchezo wetu dhidi ya Lupopo ambao tayari tumeshacheza, hivyo kuanzia kesho (leo) tutaanza kuwapa mishahara yao,'' alisema Mwalusako.

Wakati huo huo, Mwalusako alisema leo Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo, inatarajia kukutana na benchi la ufundi, kujadili na kupanga mikakati ya mchezo wao wa marudiano dhidi ya FC Lupopo, utakaopigwa wiki mbili zijazo nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC).

Alisema watakutana kujadili ni vipi walipoteza mchezo huo wa kwanza kwa kuangalia makosa yao na kujipanga upya, pamoja na kupanga mikakati ya kuaminika katika kuhakikisha wanaingia hatua ya pili ya michuano hiyo.

Gang Chomba kang'ang'ania Simba wapake Chokaa jengo lao wakati wao wamemalizia pesa kwenye Ukarabati wa gofu lao. Priorities, Gang Chomba haya pelekeni picha za jengo lenu Lubumbashi bila shaka litawafanya mshinde.
 
Gang Chomba kang'ang'ania Simba wapake Chokaa jengo lao wakati wao wamemalizia pesa kwenye Ukarabati wa gofu lao. Priorities, Gang Chomba haya pelekeni picha za jengo lenu Lubumbashi bila shaka litawafanay mshinde.

ah acha wafu wazikane wenyewe.... manji amekanyaga clutch tu yanga tayari shimoni!!
 
Wakuu naona jukwaa letu linaanza kupunguza kasi.... hebu tujaribu kukumbushana enzi zile za great eleven from 6-0 ya yanga hadi wakati tunaitoa zamalek kwenye ubingwa wa africa
 
natamani kumjua next mwenyekiti wa Simba,na lini uchaguzi utafanyika?
 
natamani kumjua next mwenyekiti wa Simba,na lini uchaguzi utafanyika?

Mkuu suala la uchaguzi acha kwanza kwani ni siasa zilezile zinazokwamisha maendeleo ya nchi yetu...

...kama wewe ni mpenzi wa simba kiukweli, basi ungetamani kwanza tulambe ubingwa halafu ndio tuchague hao viongozi

Lets focus on next game.... AS ALWAYS WINNING IS IMPORTANT😀
 
Insh-Allah leo Moro atachukua kichapo...
Wadau tupeane update kama kawaida yetu!
Mungu ibariki Simba; Mungu ibariki Jamii forum; Mungu ibariki Simba Sports Club Special thread
 
Insh-Allah leo Moro atachukua kichapo...
Wadau tupeane update kama kawaida yetu!
Mungu ibariki Simba; Mungu ibariki Jamii forum; Mungu ibariki Simba Sports Club Special thread

Sasa ni Half time

Simba 3 Moro Utd 1
 
Back
Top Bottom