Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe updates MkuuSasa ni Half time
Simba 3 Moro Utd 1
Simba 4 - Moro 1 .. yebox2 wasome namba....Tupe updates Mkuu
Utake usitake habari ndio hiyo??????????Kwani nini usiadd ktk jukwa letu?
Utake usitake habari ndio hiyo??????????
Umekuja na ushauri h huo hapo juu--.
Wana Simba tudumishe Umoja,wapenda chokochoko tuwambie Hatudanganyiki???
Ukang'aka kama inavyoonyesha chini sasa huo umoja unaohubiri uko wapi?Kwani nini usiadd ktk jukwa letu?
Utake usitake habari ndio hiyo??????????
achana naye huyo ni Simba TalibanOhoo hujanielewa wewe, namaanisha kwanini hii habari ambayo ni njema kwa sisi wanaSimba usiongezee kule ktk ile thread ya Simba? Hope umeelewa sasa
Timu ya Simba- Wekundu wa Msimbazi, leo imeipa kipigo cha mbwa mwizi timu ya Moro United pia ya Dar.-Cheslea ya Bongo.
Magoli ya Simba yamefungwa na, Nyagawa Nico,Chombo Redondo,Okwi Emmmanuel na Juma Jabu.bao la Moro limepatikana baada ya Kevin Yondani kujifunga kwa bahati mbaya.
Kesho Yanga inacheza na ndugu zao Toto African .Nadhani mechi itakuwa kali sana,kwani yanga wanataka ubingwa toto wanataka kushuka.
Hakika ubingwa mwaka huu ni wa Simba sijui aje mdudu gani.
Wana Simba tudumishe Umoja,wapenda chokochoko tuwambie Hatudanganyiki???
Radio one / ITV wanadeka sana, hawaonyeshi ukomavu hata kidogo, acha niwapongeze Radio Free Africa na star TV KWA KUONYESHA KUWA WANAELEWA MAADILI YA TAALUMA yao.Hakuna wakizima huuu Moto wa Simba ila Nashangaa Radio One Kipindi che Michezo akiwepo Mailid Kitenge Hawatangazi Matokeo wala Pointi Za Simba Kwani Kuna Nini??????