Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kudadeki limnyama bwana halishikiki big up sana yaani
 
Kwa habari toka kwa wadau wa wekundu nasikia hadi mwisho Simba 4 Moro United 1 mwaka wetu huu
 
Timu ya Simba- Wekundu wa Msimbazi, leo imeipa kipigo cha mbwa mwizi timu ya Moro United pia ya Dar.-Cheslea ya Bongo.
Magoli ya Simba yamefungwa na, Nyagawa Nico,Chombo Redondo,Okwi Emmmanuel na Juma Jabu.bao la Moro limepatikana baada ya Kevin Yondani kujifunga kwa bahati mbaya.
Kesho Yanga inacheza na ndugu zao Toto African .Nadhani mechi itakuwa kali sana,kwani yanga wanataka ubingwa toto wanataka kushuka.
Hakika ubingwa mwaka huu ni wa Simba sijui aje mdudu gani.
Wana Simba tudumishe Umoja,wapenda chokochoko tuwambie Hatudanganyiki???
 
Utake usitake habari ndio hiyo??????????

Ohoo hujanielewa wewe, namaanisha kwanini hii habari ambayo ni njema kwa sisi wanaSimba usiongezee kule ktk ile thread ya Simba? Hope umeelewa sasa
 
--.

Umekuja na ushauri h huo hapo juu
Hapo chini ukashauriwa ifuatavyo
Kwani nini usiadd ktk jukwa letu?
Ukang'aka kama inavyoonyesha chini sasa huo umoja unaohubiri uko wapi?

Utake usitake habari ndio hiyo??????????

Ohoo hujanielewa wewe, namaanisha kwanini hii habari ambayo ni njema kwa sisi wanaSimba usiongezee kule ktk ile thread ya Simba? Hope umeelewa sasa
achana naye huyo ni Simba Taliban
 
Yanga nayo imekomaa kweli mzunguko huu, walijisahau sasa wanavuta shuka asubuhi...
 
we are the champs... we are we are are!!!

Mods hebu combine hizi tablets
 
we are the champions my friend......and we'll keep on fighting 'til the end. We are the champions, we are the champions!!!
 
Timu ya Simba- Wekundu wa Msimbazi, leo imeipa kipigo cha mbwa mwizi timu ya Moro United pia ya Dar.-Cheslea ya Bongo.
Magoli ya Simba yamefungwa na, Nyagawa Nico,Chombo Redondo,Okwi Emmmanuel na Juma Jabu.bao la Moro limepatikana baada ya Kevin Yondani kujifunga kwa bahati mbaya.
Kesho Yanga inacheza na ndugu zao Toto African .Nadhani mechi itakuwa kali sana,kwani yanga wanataka ubingwa toto wanataka kushuka.
Hakika ubingwa mwaka huu ni wa Simba sijui aje mdudu gani.
Wana Simba tudumishe Umoja,wapenda chokochoko tuwambie Hatudanganyiki???

Moro United ni ya Morogoro...,hata hivyo simba hoyeeeee
 
Hakuna wakizima huuu Moto wa Simba ila Nashangaa Radio One Kipindi che Michezo akiwepo Mailid Kitenge Hawatangazi Matokeo wala Pointi Za Simba Kwani Kuna Nini??????
 
Radio one / ITV wanadeka sana, hawaonyeshi ukomavu hata kidogo, acha niwapongeze Radio Free Africa na star TV KWA KUONYESHA KUWA WANAELEWA MAADILI YA TAALUMA yao.
halafu unakuwa pale Taifa/shamba la bibi , mara unawaona waandishi wa Radio one/ITV wanakuja kuangalia soka , wamevaa vitambulisho vyao, kweli wananiudhi sana.....kama hawareport sasa wanakuja taifa kufanya nini ? siwakashinde kule mikocheni....shame on You.
 
kwa mara nyingine tena nawapongeza vijana wa msimbazi kwa kula vibonde
 
Back
Top Bottom