Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Hahaaaaaaaa,maneno ya mkosaji hayo mtani....MO aliondoka vp kwani kwenu??...Manji bado yupo Yanga bana na anamwaga mshiko kama kawa

He!! MO??? nilishasahau, si unajua siye awepo asiwepo ni sawa tu.... hatukwenda kwa rais wala mganga kuomba burushi abaki

sasa wenzetu mnatuaibisha mazee
 
haya wadau big game leo..

Tunaelekea uwanjani kuwapiga sapoti wapenzi wenzetu pamoja na wachezaji wetu wote..mambo yote shwari, inshallah pwenti tatu zitapatikana...
 
Are you serious?
Goli limefungwa Dakika ya 5 na Robert Sentongo mpira ni mkali kweli kweli, lakini ikifika mapumziko Mohamed Dewj (MO) lazima atawapigia simu Lyon wawaachie Simba sababu ni dugu moja ili wachukue ubingwa mapema ahhhh!!!
 
Ni fatigue ya ushindi mfululizo. Na hata tukipoteza mechi haitakuwa big deal.
 
Lyon wamekosa bao la wazi kabisa, should have been game over surely. Dakika ya 63 bado Lyon wanaongoza 1-0
Leo Simba mnapigwa, ya Yanga mtapigwa, ya Mtibwa ndiyo hivyo tena........Yanga will become champions 3 years on the trot!!! League taamu!
 
gemu zijazo
21/2 moro utd vs simba
24/2 african lyon vs simba
06/03 simba vs jkt ruvu
16/03 simba vs azam

11/04 yanga vs simba

17/04 mtibwa sugar vs simba

...aaha ahhaa 😀

Kuna uwezekano ku delay kidogo ubingwa ili tuuchukulie mgongoni kwa hawa 'KANDAMBILI!' ???
 
Ssentogo anaisumbua sana ngome ya Simba na Ivo Mapunda katulia sana langoni mwa African Lyon, dakika ya 75 watoto wa Mbagala bado wanaongoza 1-0
 
...aaha ahhaa 😀

Kuna uwezekano ku delay kidogo ubingwa ili tuuchukulie mgongoni kwa hawa 'KANDAMBILI!' ???
Ndoto!!
Tizama vizuri ratiba halafu pima uphill task aliyonayo hayawani....
Hayawani vs Azam
Hayawani vs Yanga
Hayawani vs Mtibwa

Kazi ipo...ligi taamu!!
 
Ndoto!!
Tizama vizuri ratiba halafu pima uphill task aliyonayo hayawani....
Hayawani vs Azam
Hayawani vs Yanga
Hayawani vs Mtibwa

Kazi ipo...ligi taamu!!

Upuuzi.. hawa wote walikuwa chakula round iliyopita. Wakae tayari kuliwa tu.
 
I hope this isn't "planned" so as to rescue them from relagation, considering the news that someone gave both teams 10M for preparation !! I won't be shocked to know that someone is MO...
 
Back
Top Bottom