Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaaaa,maneno ya mkosaji hayo mtani....MO aliondoka vp kwani kwenu??...Manji bado yupo Yanga bana na anamwaga mshiko kama kawa
Dakika ya 10 African Lyon 1 Simba 0
Goli limefungwa Dakika ya 5 na Robert Sentongo mpira ni mkali kweli kweli, lakini ikifika mapumziko Mohamed Dewj (MO) lazima atawapigia simu Lyon wawaachie Simba sababu ni dugu moja ili wachukue ubingwa mapema ahhhh!!!Are you serious?
eti nasikia mpira umeshaisha,na Simba wameshachapwa 1 kwa 0
Mpira ni mapumziko, Lyon 1 - Simba 0..... Kipindi cha pili tunawapiga goli 3!!!
Leo Simba mnapigwa, ya Yanga mtapigwa, ya Mtibwa ndiyo hivyo tena........Yanga will become champions 3 years on the trot!!! League taamu!Lyon wamekosa bao la wazi kabisa, should have been game over surely. Dakika ya 63 bado Lyon wanaongoza 1-0
gemu zijazo
21/2 moro utd vs simba
24/2 african lyon vs simba
06/03 simba vs jkt ruvu
16/03 simba vs azam
11/04 yanga vs simba
17/04 mtibwa sugar vs simba
Ndoto!!...aaha ahhaa 😀
Kuna uwezekano ku delay kidogo ubingwa ili tuuchukulie mgongoni kwa hawa 'KANDAMBILI!' ???
Ndoto!!
Tizama vizuri ratiba halafu pima uphill task aliyonayo hayawani....
Hayawani vs Azam
Hayawani vs Yanga
Hayawani vs Mtibwa
Kazi ipo...ligi taamu!!