saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 99
Duwa zaidi ushindi upo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto!!
Tizama vizuri ratiba halafu pima uphill task aliyonayo hayawani....
Hayawani vs Azam
Hayawani vs Yanga
Hayawani vs Mtibwa
Kazi ipo...ligi taamu!!
mechi ilikuwa kali wadau.mpira ilikuwa wa high standard na siyo butua butua.kama alivyosema kaka hapo awali mwaka huu tunamaliza ligi bila kufungwa.pwenti 5 zitapatikana next 2 games.lyon are our brothers too na tuko bega kwa bega nao iliwabaki kwenye ligi.
Dakika ya 81 Musa Hassan Mgosi anasawazisha bao kwa upande wa Simba 1-1
Kwa kweli maana watu ndy wameona shuka wakati kumeshakucha.hongereni wanasimba kwa kuwasaidia ndugu zetu na pia kujongelea ubingwa.... sio wale wenzetu wanaokandamiza wenzao simply kufukuza upepo
ubingwa uko palepale
Naomba tukutane na Simba mechi ijayo tuvunje hiyo rekodi yao
Nyie timu gani?
teh teh, hamna lolote nyie...unamatokeo ya Lupopo na Yebo Yebo?Dar Young Africans