Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Ndoto!!
Tizama vizuri ratiba halafu pima uphill task aliyonayo hayawani....
Hayawani vs Azam
Hayawani vs Yanga
Hayawani vs Mtibwa

Kazi ipo...ligi taamu!!

...haya bana, 'hayawani' huyoo kasawazisha. 😀
'Mwendo mdundo!'
 
Simba oyeeeeeeeeeeeeee
Wadau sare ya 1-1 siyo mbaya! rekodi yetu bado nzuri na itachukua miaka kuja kuvunjwa!!! Dalili nizionazo mpaka tunamaliza ligi itakuwa kushindwa kwetu ni sare.....
 
Ooops! Dah lyon walikaza sana leo yaani almanusura watupige la pili.Tunashukuru kwa sare bado tunaclean sheet,ni kweli record hii itaweza chukua mda mrefu kuja kuvunjwa!! bado point 5! kwa ruvu na Azam! lets wait and see
 
mechi ilikuwa kali wadau.mpira ilikuwa wa high standard na siyo butua butua.kama alivyosema kaka hapo awali mwaka huu tunamaliza ligi bila kufungwa.pwenti 5 zitapatikana next 2 games.lyon are our brothers too na tuko bega kwa bega nao iliwabaki kwenye ligi.
 
Siyo Mbaya ingawa haya Matokeo yana Mkono wa MO
 
Dakika ya 81 Musa Hassan Mgosi anasawazisha bao kwa upande wa Simba 1-1

Mkuu mfunyukuzi.thanks sans kwa updates tuko pamoja tunaliombea chma letu,linatufurahisha sana mechi zilizobaki zote tunazo!
 
teh teh teh wanasema ukiwa na njaa hata tope linakuwa tamu...
Nasikia wajomba mmepata patulo leo mmekimbia vitumbo wazi mji mzima wa Dar.....teh teh teheeeeeeeh
 
hongereni wanasimba kwa kuwasaidia ndugu zetu na pia kujongelea ubingwa.... sio wale wenzetu wanaokandamiza wenzao simply kufukuza upepo

ubingwa uko palepale
 
Hatua hizi za mwishomwisho wanga wengi!, si ajabu wazee wa mtaa wa Jangwani wanalala pale uwanjani wakitengeneza nuksi.

Ubingwa tutauchukulia mkoani!
 
Jamani hawa watani wetu wa jadi wamemshindwa popo itakuwa mnyama Simba, mimi ninaona ni bora watugaie points zetu kabisa maana tutawafunga halafu wataleta habari za mganga kumtambua mchawi ni nani? Tchaoooooooooooo.
 
hongereni wanasimba kwa kuwasaidia ndugu zetu na pia kujongelea ubingwa.... sio wale wenzetu wanaokandamiza wenzao simply kufukuza upepo

ubingwa uko palepale
Kwa kweli maana watu ndy wameona shuka wakati kumeshakucha.
 
Naomba tukutane na Simba mechi ijayo tuvunje hiyo rekodi yao
 
Back
Top Bottom